Waafrika wengi hawana hata uhakika wa mlo wa jioni leo wanataka waache kufanya kazi kisa corona shenzi sana. Tuzuie corona tuue watu kwa njaa.
Binafsi sikubaliani dunia nzima kusimama kisa hiki kirusi, maisha lazima yaendelee, JPM aliona mbali alisema watu wachukue tahadhairi ila lazima wapige kazi, KE na RW kama kawaida yao, wazee wa kuwafurahisha mabwana zao wa magharibi wanafahamika kama "Western Dearest" walikua wa kwanza Africa nzima kudandia hili treni as expected. Sasa wanaonenaka vituko maana hamna cha maana wamefanya.
Haya mafua yanaua sana mizungu acha wao wachukue extreme measure sisi tusicheze ngoma isiyo yetu kama ambavyo wao hawakusimama hata sekunde moja wakati wa ebola zaidi ya kuchukua tahadhari tu.