Hii njia ya Kenya, Uganda, Rwanda na mataifa mengine hasa ya Africa kupambana na Corona inachekesha

Hiyo hiyo siku moja inatosha kuambukizana, kwani mimba huingia kwa kukutana mara ngapi?, huu ujinga wenu wa kuona kwamba ninyi mnalofanya ni sahihi lakini wanalofanya wengine ni makosa ndio yanayosababisha kuwatania na kuwakebehi mnapopatwa na majanga.

Kama maombi hayazuii maambukizi (jambo ambalo ni kweli), basi iwe ni kosa kwa wote, kwa Magufuli kuruhusu nyumba za ibada kuendelea, na ninyi kukusanyika na kufanya maombi ya kitaifa, yote ni makosa na upotofu yanapaswa kukemewa, Wacha kuanza kujifanya kwamba kwenu ni siku moja kwa hiyo sio kosa lakini kwa wengine ni kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wangapi wamefariki katika hao 13? Wangapi wamefariki EA due to corona?

Kwanini tuache shughuli kisa vifo kadhaa tu? Ajali zinaua watu kila siku Africa ila watu bado wanasafiri.

JPM alisema vizuri kabisa ni uzwazwa kuacha shughuli mfe njaa kisa corona sasa Trump wanayemuamini sana anasema hayohayo. KE na RW kama kawaida yao wamekimbia kucheza ngoma isiyowahusu shenzi sana hawa jamaa they'll do anything kuwafurahisha mabwana zao.

Jua linatoka kila leo dunia haisimami fanyeni kazi binadamu is a social animal hawezi kukaa ndani kama mfungwa.
 

Halafu huyo beberu bwana wao Marekani ambaye wanamtegemea kwa kauli zake kule kwao ndiye anaaongoza kwa maambukizi sasa...

 
Anaongoza kwa maambukizi, Anaongoza kwa uchumi mkubwa lakini bado anawaambia watu wake wachape Kazi. Ninyi masikini wa kutupwa, kifo kimoja na wagonjwa 30, mnawaambia watu wasichape Kazi Wakati huohuo mumeanza kutembeza bakuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda mpaka wanaua wanaotoka nje kwa risasi kwa kweli akili za mitawala ya Africa Mungu tu ndo anazijua
 
Naelewa mpo kwenye shughuli za kumfanyia mzee kampeni ila ingekuwa vyema kama mngetumia mbinu zingine. Hivi ndio hali ilivokuwa jana mchana kwenye miji ya New York(kushoto) na Los Angeles(Kulia).
 
Naelewa mpo kwenye shughuli za kumfanyia mzee kampeni ila ingekuwa vyema kama mngetumia mbinu zingine. Hivi ndio hali ilivokuwa jana mchana kwenye miji ya New York(kushoto) na Los Angeles(Kulia).
Pamoja na hayo yote lakini Trump anataka watu wakachape Kazi ili kuokoa uchumi usiporomoke pamoja na kuwa na uchumi mkubwa zaidi dunia, pamoja na kuingiza trillions za dola ili kusisimua uchumi.

Jambo la ajabu ni kusikia nchi masikini na zilizofilisika, ambazo zinawategemea hao wamarekani na wachina, ambazo tayari zinatembeza bakuli, ambazo tayari zinaomba kufutiwa madeni, zipo mstari wa mbele kuwaambia raia wake wasichape Kazi. China hawakuzuia raia wake wasichape Kazi, isipokua mji mmoja tu wa Wuhan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekurupuka kusitisha huduma mbalimbali ikiwemo kufunga mipaka lakini cha ajabu visa vinazidi kuongezeka kwenye nchi zao,
Nchi moja wamezuia mikusanyiko mchana ila usiku wanaruhusu... Ina maana vile virusi vinasambaa tu mchana then usiku vinakuwa vimelala 😷😷😷
 
Mkazi wa kibera anafanya kazi ili apate pesa ya kula na mahitaji mengine halafu leo hii unakuja kumuambia eti ajifungie ndani asiende popote na hapo ukumbuke hana chakula ndani 😷😷😷
 

Duh! ila kwa kweli ukosefu wa vifaa au uwezo unasababisha baadhi ya mataifa yasionekane kuathirika sana.
 
Manyangau ata msiseme kitu ,Wapee tu time praise team watakuja jua seriousness ya hii kitu
 
Manyangau ata msiseme kitu ,Wapee tu time praise team watakuja jua seriousness ya hii kitu

Jameni tuombe wazungu wagundue dawa mapema maana miafrika kwa jeuri tutakufa mpaka tufutike duniani.
Hawa wanaobeza, ipo siku watakosa hata hizo hela wanazopewa na CCM za kushinda mitandaoni.
 
Hahahaha, rushwa ikijikita katika DNA za watu, nchi nzima inaweza kitu kidogo, kwahiyo kumbe wakenya wote wanaokesha hapa JF wamelipwa na Jubilee Sio?, huku kwetu hayo mambo hawapo, tunayasikia toka Kenya, tafadhali msituambukize matatizo yenu. Sisi Nyerere alitujengea uzalendo, huko Mzee Kenyatta aliwajengea ukabila na rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is a Leader of 55m people, and the Entire Africa respect him big time,
Je, wewe ni nani? Una hata familia unaiongoza? Kojoa ulale Kapuku wewe.
Texhnique ya mawe ni hovyo kabisa

Jamaa hakunaga mtihani alishafaulu,wowote ule

Uamuzi anachokua wowote ule kuhusu lolote lile ni suspect!

Siwezi kaa hapa naamini anything this guy makes decision on,never!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mzee, Sote tunatambua misuli ya US kwenye uchumi, ila in a short time ameamua watu wafanye kazi, meaning ameona hali utakuwa mbaya,
Sasa nyie makapuku jamani mnakaa ndani kisa kifo kimoja, seriously?? si njaa itawaangamiza taifa taifa lote? Yaani bila ya corona na mkipiga mishe zenu za kuhangaika bado njaa inawakamua kwelikweli, je mkikaa ndani unadhani hali itakuwaje? Unadhani kuna IQ kweli hapo?
Halafu huyo beberu bwana wao Marekani ambaye wanamtegemea kwa kauli zake kule kwao ndiye anaaongoza kwa maambukizi sasa...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, hao jamaa hata wakikaa miezi sita bila kufanya kazi hawataangamia kwa njaa,
Hapo Kenya kifo kimoja tu mnataka kukaa ndani, Siku mbili tu tayari mnatembeza bakuli, mnaombaomba hovyo, bila corona huwa mnakufa njaa pamoja na mihangaiko yenu, sasa mkikaa hata wiki tu si mtateketea wote ?
Naelewa mpo kwenye shughuli za kumfanyia mzee kampeni ila ingekuwa vyema kama mngetumia mbinu zingine. Hivi ndio hali ilivokuwa jana mchana kwenye miji ya New York(kushoto) na Los Angeles(Kulia).

Sent using Jamii Forums mobile app
 

US hajaamua watu wafanye kazi, in fact nimesoma sehemu ameanza kuita madaktari kutoka matafa mengine akiwahakikishia visa ya kudumu ili watu wake wapate nafuu, hali inazidi kuwa balaa kule, tunaomba hao wazungu wagundue dawa upesi kabla kirusi hakijatamalaki Afrika maana tutafutwa kwenye ramani ya dunia, haswa kwa nchi maskini kama nyie, japo wachache mnategemea vihela vya CCM kwenye mitandao kubeza Kenya, ila najua kwenye mioyo yenu mnajua mziki unaokuja ni balaa pasipogundulika namna.
 
Tumia akili kama unazo. Watu waendelee kufanya kazi, Kenya ni Taifa fukara, Siku mbili tu mnatmbeza Bakuli na mmeanza Kulilia china iwasaidie kuwasamehe madeni (looks funny though [emoji3])
Watu wachukue Tahadhali zote na wafanye kazi,
99% ya wakenya ni Mafukara wanategemea kipato cha kula siku hiyohiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…