joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hiyo hiyo siku moja inatosha kuambukizana, kwani mimba huingia kwa kukutana mara ngapi?, huu ujinga wenu wa kuona kwamba ninyi mnalofanya ni sahihi lakini wanalofanya wengine ni makosa ndio yanayosababisha kuwatania na kuwakebehi mnapopatwa na majanga.Choko ni wewe ambaye unafananisha National Prayer Day, siku moja tu ya maombi ya dini zote kwa pamoja, na hizo kauli za Jiwe. Ambazo zinawakubalia mkaloweshane jasho na mate kwenye makanisa na misikiti, eti ndio mkamtokomeze shetani ambaye anaitwa Corona. National Prayer Day ilifanyika Kenya na Uganda pia, siku hiyo hiyo moja tu, kisha tukasahau hayo mambo ya kukusanyika kwenye nyumba za ibada.Ona 'sitting arrangement' ilivokuwa, hakuna kukaribiana, mita 1.5x1.5.![]()
Kama maombi hayazuii maambukizi (jambo ambalo ni kweli), basi iwe ni kosa kwa wote, kwa Magufuli kuruhusu nyumba za ibada kuendelea, na ninyi kukusanyika na kufanya maombi ya kitaifa, yote ni makosa na upotofu yanapaswa kukemewa, Wacha kuanza kujifanya kwamba kwenu ni siku moja kwa hiyo sio kosa lakini kwa wengine ni kosa.
Sent using Jamii Forums mobile app