Hii nyimbo harmoniza umeua sana, Haswa kwa sisi tunaopenda nyimbo za taratibu

we jamaa uko timamu kwel? kwan shows ni lazima ziwe bara? kwan marioo hakupiga show bara na juzi kapiga kenya pia
Weka matangazo yao za hizo shows walizofanya ,wewe ndiyo ZERO brain kwa kuona mambo yapo sawa wakati shamrashamra za mwisho wa mwaka tungesikia maSHOWS kibao ,sasa unaleta shows za uchochoroni ambazo hata hazitangazwi na kuona mambo yapo Sawa.
 
uko nchi gan dogo, unaongelea bongo wakati marioo katoka kufanya show mpaka kenya juzi
 
Weka matangazo au banners za hizo shows mbona maelezo mengi unamaliza miti? haiwezekani hao mbogamboga wafanye shows pasiwe na matangazo/banners/links .ebu weka chap tuone.
 
banners, we uko dunia gan watu washafanya show washamaliza unaongelea banners
 
Weka matangazo yao za hizo shows walizofanya ,wewe ndiyo ZERO brain kwa kuona mambo yapo sawa wakati shamrashamra za mwisho wa mwaka tungesikia maSHOWS kibao ,sasa unaleta shows za uchochoroni ambazo hata hazitangazwi na kuona mambo yapo Sawa.
wasanii hawaamini macho Yao
na Bado
 
wanapiga kwa Siri sana basi, nipe posters za wasanii watano tu waliopga show Dar
siri? juzi tu apa kulikua na video za marioo akiwa anafanya show kenya, harmonize nae video zilipostiwa nyingi sana umu! infact wameshatoa mpakanyimbo mpya na zina million views kasoro yule msanii wenu
 
Back
Top Bottom