Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Barua za mkwawa na bwana kheri/abushiri,zinaitaja tanga na nyi
Barua za mwaka Gani? Kijana neno Tanga and Tanganyika ni ya Mjerumani baada ya kupewa kuitawala Tanganyika ya kale katika mkutano wa BerlinBarua za mkwawa na bwana kheri/abushiri,zinaitaja tanga na nyika
Hakukua na nchi ndo jibu sahihi.Tanganyika nayo ilikuwa bado,ilkua ikiitwa Mrima
Nipo kwenye research juu ya kwanini miji ilikoanzia uprotestant au uislam ilikua sana kiuchumi kabla ya uhuru ukilinganisha na ile iliyokuwa dominant kwa catholic...
Kumbuka kiini cha imani ya Ukatoliki ni kujitoa kwa wengine na kukubali kuishi maisha ya kifukara. Wale walio utawani hata ukiletewa pair ya viatu kutoka kwa familia yako kama una pair ya kutumia muda huo vile unavigawa kwa mwenye uhitaji.Nipo kwenye research juu ya kwanini miji ilikoanzia uprotestant au uislam ilikua sana kiuchumi kabla ya uhuru ukilinganisha na ile iliyokuwa dominant kwa catholic...
Natafuta connection iliyopo kati ya catholic na umaskini...
Lete ushahidi!Barua za mkwawa na bwana kheri/abushiri,zinaitaja tanga na nyika
Si vile. Je una takwimu ya kuonyesha?Nipo kwenye research juu ya kwanini miji ilikoanzia uprotestant au uislam ilikua sana kiuchumi kabla ya uhuru ukilinganisha na ile iliyokuwa dominant kwa catholic...
Natafuta connection iliyopo kati ya catholic na umaskini...
Nenda makumbusho ya mkwawa utaikutaLete ushahidi!
Kwani pilika za mkwawa ni mwaka gani!!?..mkwawa akiwaandikia barua watemi wenzie kupambana na wageniZ
Barua za mwaka Gani? Kijana neno Tanga and Tanganyika ni ya Mjerumani baada ya kupewa kuitawala Tanganyika ya kale katika mkutano wa Berlin
Walikuwa wanajua kusoma na kyandika hadi wakarekidi mwaka huo 1910?Picha
Upo sahihi kabisa! Na kuonyesha kuwa mwandishi ni muongo wa kuokoteza habari za uongo ni kwamba hakuna Mzungu alikuja anaitwa Johan Krapf' Mjerumani aliyekuja alikuwa anautwa Ludwig Krapf kama ulivyoandika hapo juu. Mimi huwa nachukia sana mtu anayeandika uongo ili kuwarubuni wasomaji na hasa vijana wa sasa ambao hawajui historia hiyo kwa mapana!Soma kuhusu Magila: Magila - Wikipedia, kamusi elezo huru.
Ila matini katika post ya juu si kweli. Hii si picha ya 1843 (sijui picha ya kupigwa yoyote ya 1843 katika Afrika). Ludwig Krapf alianza kazi mnamo 1844 lakini pale Mombasa na Rabai.
Hata wewe vizazi vjavyo havitakuja kuons kaburi lako, hivyo hakuna kuumia ndiyo mchakato wa maisha ya binadamu. Hata hao unaowaona kwenye hiyo picha hawakuwahi kuona makaburi ya waliowatangulia!ROHO INANIUMA SANA KWA HAKIKA MPIGA PICHA NA WOTE WANAOONEKANA KWENYE HII PICHA SIDHANI HATA MAKABURI YAO KAMA YANAJULIKANA YALIKO.
Kwanza tu kuonesha maneno uliyoandika hapa kwenye picha hii ni ya kutunga na uongo mkubwa, hakuna Mzungu aliyekuja Tanganyika alikuwa anaitwa Johan Krapf! Mzungu aliyekuja huko Magili alikuwa anaitwa Ludwig Krapf ( Mjerumani). Huyo Johan unayemtaja hapa alikuwa Mholanzi gwiji la soko la Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi ambaye amefariki mwaka jana! Sijaelewa kwa nini hata magwiji ya Historia humu JF hamjamrarua huyu jamaa! Kwanza mwaka huo 1843 anaosema hapa watu walikuwa bado wanavaa majani na magome ya miti!
Uko sahihi mimi ni mzaliwa wa hapo hapo magila msalabani napajua nje ndani ila mimi nimesoma bwana😂😂Chakushangaza shule ya kwanza imeanza kwao muheza ila wapo nyuma kielimu kuliko maeneo mengine yaliyofuata kupata shule
Uko sawa kabisa na mimi nilipata ubatizo wangu hapo hapo kanisaniWalutheri na Wakatoliki walielekea Lushoto, walipenda hali ya hewa, Anglicana walipenda kujenga Vuga lakini Mtemi Kimweri aliwakatalia. Muheza walipita kwa bahati tu wakielekea Malawi kutoka Lushoto, walipapenda sana na lakini wanakijiji waliwapa eneo la mwamba kuwakomoa. Matokeo yake walipasua mwamba na kutumia mawe kujengea kanisa, shule na hospitali.
Acha ubishi wewe. Anaitwa Johann Ludwig KrapfKwanza tu kuonesha maneno uliyoandika hapa kwenye picha hii ni ya kutunga na uongo mkubwa, hakuna Mzungu aliyekuja Tanganyika alikuwa anaitwa Johan Krapf! Mzungu aliyekuja huko Magili alikuwa anaitwa Ludwig Krapf ( Mjerumani). Huyo Johan unayemtaja hapa alikuwa Mholanzi gwiji la soko la Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi ambaye amefariki mwaka jana! Sijaelewa kwa nini hata magwiji ya Historia humu JF hamjamrarua huyu jamaa! Kwanza mwaka huo 1843 anaosema hapa watu walikuwa bado wanavaa majani na magome ya miti!
Swali makini sana[emoji848]1844 tulikuwa tunatoa wapi nguo.
Mi sio Mtaalamu wa soka,Kwanza tu kuonesha maneno uliyoandika hapa kwenye picha hii ni ya kutunga na uongo mkubwa, hakuna Mzungu aliyekuja Tanganyika alikuwa anaitwa Johan Krapf! Mzungu aliyekuja huko Magili alikuwa anaitwa Ludwig Krapf ( Mjerumani). Huyo Johan unayemtaja hapa alikuwa Mholanzi gwiji la soko la Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi ambaye amefariki mwaka jana! Sijaelewa kwa nini hata magwiji ya Historia humu JF hamjamrarua huyu jamaa! Kwanza mwaka huo 1843 anaosema hapa watu walikuwa bado wanavaa majani na magome ya miti!
Sure! Hata mimi ujiuliza, kabla ya uhuru ilikuwa hivyo lakini baada ya uhuru naona ni tofauti, je Catholic walifanikiwa vipi, uchumi wao ulichagizwa na nini?Nipo kwenye research juu ya kwanini miji ilikoanzia uprotestant au uislam ilikua sana kiuchumi kabla ya uhuru ukilinganisha na ile iliyokuwa dominant kwa catholic...
Natafuta connection iliyopo kati ya catholic na umaskini...
Nitakuta nini? Barua za mkwawa na Bwana Heri/Abushiri? Kwenye Makumbusho ya Mkwawa? Ni barua za aina gani?Nenda makumbusho ya mkwawa utaikuta
Hakika Mkwawa hakuandika barua. Hakuwa msomi. Tena hakushirikiana na watemi wengine.Kwani pilika za mkwawa ni mwaka gani!!?..mkwawa akiwaandikia barua watemi wenzie kupambana na wageni