Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

Kapelo, raba mkato, jinzi, shati la kuning'inia.

Mavazi ya Waziri mbele ya Rais yanaongea wazi, sijali lolote, bosi wangu mama angu, uwaziri kanipa yeye, anaulinda yeye ili binti yake alishwe, utanieleza nini....

hawajui hata kula na kipofu, kufeki kwamba tunapiga kazi, tuna heshima, tunathamini wananchi, tunaogopa mamlaka ya juu....

ujana maji ya moto
 
Waziri kavaa kihuni.
 
Sidhani kama ni tatizo
Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi sioni hata sababu ya kuvidiscuss humu jf !
Kwani kuwa na Mkwe au mtoto au mume katika shughuli yeyote ya kijamii au ya kitaifa unayoifanya kuna kosa gani hapo ??!
Yupo Rais humu Africa alimteua mke wake kuwa makamu wa Rais 😅🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…