Una bahati wakati Rais kikwete anakadhiwa nyumba yake, mwanae alikua hajateuliwa katika Wizara ya Ardhi ,nyumba na Makazi...hii extension regime ya awamu ya Tano ingempatia mtoto jukumu la kumkabidhi baba nyumba iliyojengwa kwa Kodi za Watanganyika... ambayo kimsingi yeye ndie atakayekuja kuirithi na kuitumia kwa muda murefu kuliko mzawadiwa.