Hebu nenda jikoni kachochee maharage we mtoto mwenye dalili zote za kurithi ushetwani wa uzushi na uongo uliopitiliza.......mtakuja kuda vinywa wazi kwa michuki mliyoijaza vifuani mwenu.Mchapakazi angeuza Kigosi National Park kwa waarabu.
Mchapakazi angeuza misitu yetu kwa waarabu.
Mchakazi angetenga 21% ya ajira taasisi za muungano kwa ndugu zake Wazanzibari!.
Facts...kwenda ofisi ya raisi ila ukienda hivyo hata getini hutapita.
Mama mkwe kuteua mkwe wake inaleta maswali sanaSasa ulikuwa unalalamika nini au kwakuwa mchengelwa sio msukuma? Acha ukabila na Jf sio mahala pa kufanyia cheap propaganda
Je na mjomba kuteua wapya zake Tena zaidi ya watatuMama mkwe kuteua mkwe wake inaleta maswali sana
Samia by nature ni nepotist. Watu kama hao huona ni sahihi kabisa kumpendelea jamaa yake na hua na upofu kuhusu mapungufu ya yule wanayetaka kumpa cheo. Nchi kama yetu hatuhitaji kiongozi mkuu kama huyo. Umeona enzi ya nyerere akiacha familia yake kupambana kila mtu kikwake. Halafu tukaona magufuli hata wanawe tumewajua baada ya kifo chake.View attachment 2751738
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
View attachment 2752398
Yaani Raisi, kuwa na ndugu yake, serikakini ni ko sa? Kuwa, ndugu, mtoto wa raisi hakukuondolei sifa ya kuteuliwa,View attachment 2751738
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
View attachment 2752398
Sawa tuu kwani Kuna shida?View attachment 2751738