Hii Picha Itadumu kwa Miaka Mingi Sana Na Kuonyesha kuwa hakuna picha Ya bahati mbaya Inayopigwa Ikulu

Lissu kalelewa na Mbowe akiwa hajulikani, leo anamuona Mbowe kama hana maana kabisa, Lissu hana shukrani kabisa sio mtu wa kufanyiwa hisani.
Shukrani yake anatakiwa afanyaje, akae nje ya kiti cha Mwenyekiti?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo.

Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na kupitishwa na Rais Samia kuwa Mgombea Mwenza wake katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu wa 2025..

Lakini Pia Huyo huyo Balozi DKT Emmanueli Nchimbi ndiye katibu Mkuu wa CCM kwa sasa.

Hapo hapo ukitizama pichani unamuona Mzee Stephen Wasira.Ambaye naye Majuzi juzi ametoka kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. Ambaye huyo Mwenyekiti Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ndugu zangu Watanzania hakuna picha inayopigwa kwa bahati mbaya katika Siasa na katika Dunia hii. Angalia sana picha unazopiga na kuweka mitandaoni.View attachment 3209149

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jamaa unakatwa na nani wewe?
 
Rais ni mmoja tu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. ambaye ndiye amekula kiapo cha Urais
Nani alikulipia nauli ya kwenda Dodoma juzi. Nasikia baada ya kulia Sana memba mmoja wa hapa JF (jina kampuni) alikupa hela iliyotosha kwa nauli tu ukaamua kutembea kwa miguu kuelekea Dodoma huku ukiitumia ile hela ya nauli kupata chochote kitu nniani.
 
Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe
 
basi wakufanyie mpango upate mbolea za ruzuku bure ,wakupatie na matrekta na mbegu za kisasa kutokana na juhudi zako zilizopitiliza za kumsifia Rais Samia na chama chake.
Mama anatoa na kutupatia mbolea za Ruzuku wakulima wote Nchini
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo.

Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na kupitishwa na Rais Samia kuwa Mgombea Mwenza wake katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu wa 2025..

Lakini Pia Huyo huyo Balozi DKT Emmanueli Nchimbi ndiye katibu Mkuu wa CCM kwa sasa.

Hapo hapo ukitizama pichani unamuona Mzee Stephen Wasira.Ambaye naye Majuzi juzi ametoka kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. Ambaye huyo Mwenyekiti Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ndugu zangu Watanzania hakuna picha inayopigwa kwa bahati mbaya katika Siasa na katika Dunia hii. Angalia sana picha unazopiga na kuweka mitandaoni.View attachment 3209149

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mama kakufikia wewe tahira, una maisha magumu na jinga pia. Anza kujiandaa mwenyezi mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe na wewe utachukuliwa hivi karibuni. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo.

Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na kupitishwa na Rais Samia kuwa Mgombea Mwenza wake katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu wa 2025..

Lakini Pia Huyo huyo Balozi DKT Emmanueli Nchimbi ndiye katibu Mkuu wa CCM kwa sasa.

Hapo hapo ukitizama pichani unamuona Mzee Stephen Wasira.Ambaye naye Majuzi juzi ametoka kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. Ambaye huyo Mwenyekiti Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ndugu zangu Watanzania hakuna picha inayopigwa kwa bahati mbaya katika Siasa na katika Dunia hii. Angalia sana picha unazopiga na kuweka mitandaoni.View attachment 3209149

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hiyo picha imetengenezwa, "Photoshop". Ili kujua angalia mkao wa picha wa Wasira, Lissu, anayefuata na Mbowe: hawakuwa sehemu ya hiyo picha.
 
Back
Top Bottom