Hii picha nilivyoiona nimecheka sana. The tripple integral πŸ˜†

Siku ambayo mzee Makamba sr alipomuweka mwanae viboko pala Assembly enzi zile za Secondary nkajua kabisa mhuni wetu J atakuwa msumbufu sana katika maisha yake na ipo siku watu watamchokaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…