Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,644
- 2,300
Kichwani ni sifuri kabisaHili jamaa qualification pekee aliyonayo ni kuwa mtoto wa baba yake.
Ni bonge moja la bogus kiasi kwamba hata huko kutukana anakodhani anafanya twitter ni pumba tu zinazofichua umbumbumbu wake.