KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Mmh shule ipi hiyo aseeeeeeeSiku ambayo mzee Makamba sr alipomuweka mwanae viboko pala Assembly enzi zile za Secondary nkajua kabisa mhuni wetu J atakuwa msumbufu sana katika maisha yake na ipo siku watu watamchoka😂