Hii picha nilivyoiona nimecheka sana. The tripple integral 😆

Uhuru na Kibaki walipoona Kanu itafia mikononi mwao wakakimbia kuanzisha chama kipya Kanu wakaiacha ikafia mikononi mwa familia ya Moi

Kibaki au Ruto?. Kibaki hajawahi kuwa Chama kimoja na Uhuru au KANU. Kibaki alikuwa na chama chake Cha DP na aligombea urais 1992.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…