Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Aiseeeeee
Kwahiyo wewe ikiwa mtu kaamua kufanya kitu kwa utashi wake mwenyewe wewe huna shida kabsaaaaa........kiufupi haikuhusu?
Haijalishi ni kitu gani ilimradi hakikuathiri wewe
Kuna vitu ambavyo mtu anafanya vikaumiza jamii moja kwa moja, mfano kuua, kuiba, kubaka, rushwa, ushirikina, chuki, uongo na uchonganishi,

Sasa watu kupendana tangu lini ikawa tatizo?
Wewe umependana na John mimi na athirika na nini juu ya upendo wenu?
 
Hivyo vitu umetaja kuwa vinagusa au kuumiza Jamii, ni kutokana na Nani?

Is it a fact or merely opinion?
 
Ni kweli.Sasa kinachokera kuona watu wanakereka mwanamme akifanyiwa hivyo tu.Ila humu JF kumejaa nyuzi za kusifu kufanyia wanawake huo mchezo.Ndo unafiki unapoanzia.
Kwaiyo wewe unashabikia "ushog" ?
 
Mtibua mtaro iwe kwa mwanamke au mwabamke sitamani hata akae karibu yangu!

Ila shoga ndio natamani kuua kabisa hayo maviumbe! Aibu sana kukuta familia imelea shoga lipe sumu life
 
Hivyo vitu umetaja kuwa vinagusa au kuumiza Jamii, ni kutokana na Nani?

Is it a fact or merely opinion?
Ulishawahi kubakwa? Kuibiwa kitu unachokipenda sanaaa, kuombwa rushwa ya ngono je?

Hebu jibu hayo kwanza.
 
Mtibua mtaro iwe kwa mwanamke au mwabamke sitamani hata akae karibu yangu!

Ila shoga ndio natamani kuua kabisa hayo maviumbe! Aibu sana kukuta familia imelea shoga lipe sumu life
Wewe nae Mkuu nenda polepole, haya Mambo huezi kuya control kwa Jazba.
 
Mtibua mtaro iwe kwa mwanamke au mwabamke sitamani hata akae karibu yangu!

Ila shoga ndio natamani kuua kabisa hayo maviumbe! Aibu sana kukuta familia imelea shoga lipe sumu life
Halafu ukishampa sumu afe wewe unaenda Peponi kula matunda ya bure hahahaha,

Aliyewaumba katulia wewe unayekereka kwanini usijiue ili usiwaone?
 
Ulishawahi kubakwa? Kuibiwa kitu unachokipenda sanaaa, kuombwa rushwa ya ngono je?

Hebu jibu hayo kwanza.
Wewe unajibu swali kwa swali? I had a straight question. Are those items Fact or Opinion?

Then

Kwa mtazamo wangu: Watu wakipendana kwa maana ya "opposite sex" ni sawa lakini wakiwa "same sex" sio sawa, kwangu na kwa jamii.

Unafikiri Watoto wanajifunza nini wakiona wasanii wakubwa Kama hao wanashiriki huo uchafu? Watajenga picha kuwa "kumbe ni sawa, mbona hata sauti soul wanafanya na wapo successful"

So, I have written opinion, What was your's, opinion or facts?
 
Swali kwa Swali hupatikana jibu, (filosofi hiyo)
Ungelijibu hilo swali ili uweze kuelewa point yangu, huwezi kuruka kutambaa ukataka kukimbia.

Kwa nyongeza, kwa opinion yako ni kua same sex ni mbaya sababu ya watoto blah blah, je same sex inaumiza vipi jamii?

Wewe na John mkioana sisi tunaumizwa wapi?
 
Kila mtu anaona sahihi kwake kulingana ma matakwa ya hitaji lake, usitake mtazamo na fikra au mapendekezo yako basi yawe sawa wengine, haiwezekan kamwe.

Kila mtu na life style yake ambayo anaona kwake ni sawa. Na ujue kila mtu ana hako na uhuru was kufanya jambo ambalo kwake ni sahihi pasipo kuathiri mwingine. Hakuna kupangiana.

Acha kila mtu aishi maisha yake binafsi, live ur own life.
Hivi ni wewe kweli unae tetea huu upuuzi au?
 
Eeh nitafirwa tena sanaaaa, si nimepata hamu, raha zangu why not?
Sorry mkuu wewe ni Me au ni KE?

BTW ntaheshimu maamuzi yako lakini haya ya kufanyika public nàmna hii yana athari kubwa kwa watoto wetu wanao waona hawa kama ma role model wao
 
Halafu ukishampa sumu afe wewe unaenda Peponi kula matunda ya bure hahahaha,

Aliyewaumba katulia wewe unayekereka kwanini usijiue ili usiwaone?
Aliyeumba hakuumba shoga ila ushoga ni vitabia vya kujiendekeza

Nije nishike hii nchi mtatafuta kwa kwenda la sivyo nitawaanzishia safari ya moto huko jehanum mtamalizia tu
 
Back
Top Bottom