Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
- Thread starter
- #21
Hujamuona wewe huyo nakwambiaaisee!.. maisha yanaenda kasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujamuona wewe huyo nakwambiaaisee!.. maisha yanaenda kasi sana
Hata tusipokula sisi wahuni watatuwakilisha mkuu
Anaitwa Fauzia. Yea ni teller hapo.
Digits zake ninazo nikijifanya nataka mkopo kuna siku alikua Enquiries.
Basi nikajua mdogo wangu anaefanya AKiba maana ana sifa hizo
Ningekua na uhakika ni yeye ningekukutanisha nae japo umsalimie tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha bwana..yani kwa ule mwili na utoto usoni..na body like nina uhakika hata ubungo nzima yuko peke ake...walah una mdogo wako mzuri.....[emoji3059][emoji3059]
Anaitwa Fauzia. Yea ni teller hapo.
Digits zake ninazo nikijifanya nataka mkopo kuna siku alikua Enquiries.
Itakua ni yeyeNingekua na uhakika ni yeye ningekukutanisha nae japo umsalimie tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SawaItakua ni yeye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We mzee picha ya demu wangu umetoa wap??
Mdogo wako?Basi nikajua mdogo wangu anaefanya AKiba maana ana sifa hizo
Sio wa kuzaliwa mkuuMdogo wako?
Means na wewe ni mule mule[emoji4]