MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
And the effect is worse when one is using " Cheap drugs!!"This is what happens when you are high on drugs with empty head.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And the effect is worse when one is using " Cheap drugs!!"This is what happens when you are high on drugs with empty head.....
MhhhHapa ndio ninapojua Ney wa mitego anaimba kweli...
Huyu itakua anatelezeshewa chatu.
Duuh.. nakubal mzeeNakusikitikia wewe kama umewai kuhisi kuwa Ommy Dimpoz ana akili sawasawa. Niliwai sema na nitaendelea kusema, hawa wanaoitwa mastaa wa bongo wangekuwa raia wa nchi zilizoendelea kwenye matibabu ya kisaikolojia wengi wao wangekuwa ICU wanapata matibabu ya karibu chini ya uangalizi wa madaktari bingwa.
ukiwa balozi wa brand lazma utambulishwe kwenye jamiiMkuu utajuaje labda anatangaza biashara ya hizo product mbili na hueanda akawa analipwa vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaaa bas sawaukiwa balozi wa brand lazma utambulishwe kwenye jamii
mf mond alvokua coca
kiba ishu za wanyama
mdee alikua baloz wa samsun kama sikosei
ubalozi ni marketin strategy uwez kumchagua balozi then msi mpromote eti apige kaz kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mondi mtoe kwenye huo upuuziElimu muhimu sana hukuti ujinga kwenye page ya AY au Binamu, njoo kwa domo sijui dimpoz ujinga mtupu.
Mara 100 Dimpozi kuliko huyo mtandale wako.