Una maanisha Nini jomba..embu fafanua..naona unataka Kama kumnyamazisha mdomo wakeAcha kimbelembele ebooh...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha Nini jomba..embu fafanua..naona unataka Kama kumnyamazisha mdomo wakeAcha kimbelembele ebooh...
Kwa sababu iko hivi unaona Haina impact, ngoja igeuke iwe kivingine ndio utaipata habar yake,.Sisi tunaiona imesheheni watanzania, kama umeiona tofauti sema ww tofauti iliyopo na useme ulitaka iweje.
Wewe unajifanyaga mwelevu kumbe ni empty headed! Unajidhalilisha...... yanayofanywa na CCM huyaoni? Rubbish!Kwa Unafiki na Upuuzi uilioko huko Upinzani sioni aibu wala uwoga kusema kwamba kuna uwezekano CCM ikatawala mpaka pale Yesu Kristo atakapokuja tena au Dunia ikipinduka. Udhaifu na Uzandiki wa Wapinzani nchini Tanzania ndiyo Mafanikio ya Kudumu ya CCM. Kama kuna Wapinzani watakuja Kuitawala Tanzania basi labda ni baada ya Miaka Elfu Hamsini ( 50,000 ) ijayo.
Huu ni uongozi wa Madrasa au chama cha siasa cha kitaifa
USSR
Ngoja nikusaidie ya ChademaMkuu, iko hivi, nchi yetu karibu 98% tunaishi kidugu, haijalishi wewe ni mgalatia ama ni muulamaa, angalia jamii inavyoishi kitaani, na nashangaa Kwa nini Bwana ZZK hajifunzi katika vitu vidogovidogo vinavyoifanya jamii ikae bila bughudha yoyote,
Kwenye Nyumba ya Mgaratia, Muislamu anakaa, nyumba ya Muislamu,Mgalatia anakaa tena Kwa Amani haswaa
Mgaratia anaoa Muislamu vivyohivyo Kwa Waislamu pia, Kwa hiyo kiukweli asilimia kubwa mtu akisema juu ya Tanzania kuna udini ni muongo
Tatizo liko tu kwenye hiyo 2% ilobaki, hawa watu ndio utakuta anmeweka mipaka eti kwamba anaijua Sana dini kuliko Huyo Mungu mwenye Dini yake,
Utakuta, amejitenga, hataki kushirikiana na mtu wa dini tofauti na yake, anasahau kwamba, Mungu ni Upendo na Mungu anawapenda watu wote bila kujali tofauti za Imani zao, utakuta SASA mtu mdini, hapangishi nyumba zake Kwa Mgaratia ama Mgalatia kumpangisha Muislam kisa, si wa Imani yake
SASA, mitaani ndio watu wanaozungumzwa saaana kuhusiana na tabia zao hizo, na asilimia kubwa watu hawa hawana marafiki na watu Kwa kujitenga kwao eidha Kwa kuitwa wanaroho mbaya, n.k n.k
Na asilimia hiyo ndiyo inayosumbua hata kwenye mitandao kuonyesha rangi zao,
Kwa kuwa watu hawa ni Watanzania wenzetu na Wao wameamua kuishi hivyo, hatuwezi kuwapuuza, linapokuja swala la kitaifa linalogusa jamii yote basi ni vema kutambua uwepo wa hawa watu, watu hawa ukiwapuuza kunanamna wataungwa tu mkono Kwa hoja zao, na hivyo sasa, ni vema Sana miundo hii ya Vyama vyetu visipuuzie haya Yasemayo ili kuondoa makandokando, kwani kunahasara yoyote ukizingatia Hilo?
Hii ya Chadema vipi mbona wazee wa vibalaghashia wapo dusu.Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Mkuu, nimesema!!! Ni yaleyale tu, kama huku tunakemea Udini, basi hata hawa jamaa hawakwepi hili, ili kumnyima agenda CCM katika hili kwani hatuwezi kuzuia Kwa kumchagua viongozi wetu Kwa kuondoka hii dhana ingawaje haina mashiko??Ngoja nikusaidie ya Chadema
1. Mwenyekiti - Freeman Aikael Mbowe
2. Makamu Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu
3. Katibu mkuu - John Mnyika
4. Naibu katibu mkuu Bara - Benson Kigaila
5.Naibu Katibu mkuu zenji - Salum Mwalimu
6. Mwenyekiti Bavicha - John Pambalu
Viongozi wa Kanda
1. Peter Msigwa - Nyasa
2. Ezekia Wenje - Victoria
3. Godbless Lema - Kaskazini
4. Lazaro Nyalandu - Kati
Msemaji
John Mrema
ahahahACT ni kama ball boys tu wametinga jezi na njumu kali halafu kazi yao ni kuokota mipira tu
UDINI wa Tanzania unashangaza kidogo, endapo taasisi itakuwa na Waislam hata 40% itatangaziwa udinI, lakini kukiwa na wakristo hata 95% hapo hakuna UDINI utaambiwa wanastahili ! Ukiangalia percentage za dini CCM, CHADEMA na ACT almost zinafana! Ila wanazi wa CHADEMA na CCM hapa wameungana kuituhumu ACT!
Achana naye huyo kamanda.Sema unatamani ccm iendelee kutawala milele, na sio kwamba itatawala milele.
Achana naye huyo kamanda.
Hata asipotamani CCM itaendelea kutawala tu hadi wapinzani tutakapoacha kuchagua wapiga dili kutuongoza.
Kwani ilikuwaje?Nimejikuta naikumbuka NSSF ya Dr. Ramadhan Dau
Na kweli mku kama watu wa aina tunayoitaka hawakujitokeza, tulitaka ACT wahairishe uchaguzi? IMPOSSIBLE! Lazima uchaguzi uendelee kama kawa.Sasa kama hawakupatikana wagombea zaidi ya hao ulitaka wafanyeje?!
Au wakaokote watu mtaani ili tu wakuridhishe wewe!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote vinapiga dili.Nitajie chama chenye viongozi wasiopiga deal.
Vyote vinapiga dili.
Duh! Nimekumbuka dili la akina Lisu na CCM la 2015
Limetufanya hadi leo tumekuwa chama cha kupambana na Polisi, Magereza na Mahakama.