mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Na huku tuna waimba kwaya ya mtakatifu sana john mtembeziNilidhani manifest ya waendao hija
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huku tuna waimba kwaya ya mtakatifu sana john mtembeziNilidhani manifest ya waendao hija
Cha wakristoChama cha waislamu.
Ni kama kiongozi Mkuu wa Taifa la Iran wakati pia kuna Rais wa Iran!Jamani mnisaidiye kiongozi mkuu wa act ninini hasa,?mi ninavyoelewa cheo cha juu ktk chama ni m\kiti safu inashuka.
Kwanini huwa mnakimbilia kulinganisha vitu
Weka ya NCCR Mageuzi na TLP kwanza
Ngoja nikusaidie ya Chadema
1. Mwenyekiti - Freeman Aikael Mbowe
2. Makamu Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu
3. Katibu mkuu - John Mnyika
4. Naibu katibu mkuu Bara - Benson Kigaila
5.Naibu Katibu mkuu zenji - Salum Mwalimu
6. Mwenyekiti Bavicha - John Pambalu
Viongozi wa Kanda
1. Peter Msigwa - Nyasa
2. Ezekia Wenje - Victoria
3. Godbless Lema - Kaskazini
4. Lazaro Nyalandu - Kati
Msemaji
John Mrema
Duh!Utadhani safu ya "Muslim brotherhood"
Nani amesema kuna tatizo kwenye safu ya uongozi wa ACT-Wazalendo? Kama unadhani kuna tatizo basi wewe ndiye uliyeona kuna tatizo!Interesting! Propaganda at its best. Naona hapa “ukweli fulani” unatumika “vizuri kabisa” kuyumbisha wale wasiotaka kufikiri vyema. Tatizo haliko kwenye safu ya uongozi wa chama, BALI kwenye sumu inayopandikizwa mara kwa mara na chama dola kuwagawa Watanzania kwa misingi ya kikabila, kikanda, kidini, kizalendo, n.k. Na “wanafanikiwa” sana.
Huwa najiuliza sana: chama dola tayari kina karata ya turufu inayokihakikishia ushindi “milele na milele”. Kwa nini basi, wanapropaganda wake wanalazimika kutumia hadi mbinu hatari (desperate) zinazosambaratisha umoja wa kitaifa ili tu kuonyesha “kasoro” (ambazo si za msingi) kwenye vyama vya upinzani? Sidhani kama Watanzania wanahitaji propaganda sumu za aina hiyo; wanayo akili ya kupima na kupambanua ukweli na uongo na kuamua wanachotaka wakipewa fursa sahihi kufanya hivyo.
Hawa wanatakiwa kuruhusiwa kufanya mikutano wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani,utakuta makao makuu ya chama kila mtu yupo likizo ya mfungo,hii ni safu ya udini.Maalim kauleta UCUF?Udini ACTNimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Duh!Kupewa dola labda kwenda kuibadirisha kwenye maduka ya kubadirisha pesa ila hao wanajiandaa kuwa chama kikuu Cha upinzani baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.!
Then CDM wataendelea kupotea taratibu Kama ambavyo NCCR na TLP zilipotea baada ya miaka kadhaa no watavurugwa kwa viongoz wao wengi kuhamia CHAMA TAWALA.!
Hizi ndio SIASA za AFRICA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio.Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Akikusoma tu najua akili itamwingia sawasawa kichwani, hata asipokujibu kukushukuru kwa elimu uliyompa.Sasa kama hawakupatikana wagombea zaidi ya hao ulitaka wafanyeje?!
Au wakaokote watu mtaani ili tu wakuridhishe wewe!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio muundo wenyewe wa chama! Katibu na Naibu Katibu!Hawa wakuu wa jumuiya za ACT mbona wako wawili wawili na haitoshi senior ni yupi.......
Au ndo muundo wenyewe...?
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa Chama Cha Mapinduzi;
Mwenyekiti wa CCM- John Pombe Magufuli
Makamu Mwenyekiti Bara- Phillips Mangula
Makamu Mwenyekiti Visiwani- Mohamed Shein
Katibu Mkuu CCM - Bashiru Ally
Naibu Katibu Mkuu Bara- Rodrick Mpogolo
Naibu Katibu Mkuu Visiwani - Abdalla Mabodi
Mkuu wa Itikadi na Uenezi - Humphrey Polepole
Itikadi na Uenezi Zanzibar- Catherine Peter
Mwenyekiti UVCCM Taifa- Henry James
Katibu Mkuu CCM Taifa- Mwalimu Raymond
Katibu Mkuu Uhusiano wa Kimataifa - Ngemela Eslom Lubinga
Katibu Taifa, Masuala ya Uchumi na Fedha - Frank Haule
Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi- Edmund Mndolwa
Mwenyekiti UWT Taifa- Gaudensia Kabaka
Hakuna kuangalia idikati za dini zetu kwanza kabla ya kupewa hizi nafasi ? Maana naona mzani haujawa sawa.Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!