kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
😂🤣Ndio maana unakuta zitto analilia cag wa zamani...nini? Kabila yetu bwana😅. Hakuna facts wala logic ila sentiments tu.Nimejikuta naikumbuka NSSF ya Dr. Ramadhan Dau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂🤣Ndio maana unakuta zitto analilia cag wa zamani...nini? Kabila yetu bwana😅. Hakuna facts wala logic ila sentiments tu.Nimejikuta naikumbuka NSSF ya Dr. Ramadhan Dau
Yaa huenda ni strategy ila anajali kufika anakoenda kuliko maafa kutokana na njia anayotumia. Taifa changa tunatafuta kuendelea amani na umoja ni jambo muhimi sana. Kutumia mbinu za udini au ukabila zinaweza kubomoa kabisa badala ya kujengaIdea ya yule kijana ilikuwa ni kushika ngome ya waumini fulani, halafu atumie kila hila kuunganisha ngome ya imani nyingine ili kukibwaga chama tawala. Lakini hiyo idea imekuwa nzuri kwenye ndoto tu, kuliko kwenye uhalisia wa siasa za nchi hii.
Hebu niwekee safu ya chadema
Hebu wekeni ya chadema tuoneTrue ila Dah ina maana Zitto hajaliona hili na ujanja wake wote hii itakuwa ya siraha kwa wapinzani wao
Ni yaleyale, nyinyi watu, kiukweli kabisa, Taifa hili ni la kila mmoja, jitahidini kujenga taswira nzuri kwenye Uongozi wa Vyama vyetu ili kuondoa dhana hii inayotajwa kuwa ni udiniNgoja nikusaidie ya Chadema
1. Mwenyekiti - Freeman Aikael Mbowe
2. Makamu Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu
3. Katibu mkuu - John Mnyika
4. Naibu katibu mkuu Bara - Benson Kigaila
5.Naibu Katibu mkuu zenji - Salum Mwalimu
6. Mwenyekiti Bavicha - John Pambalu
Viongozi wa Kanda
1. Peter Msigwa - Nyasa
2. Ezekia Wenje - Victoria
3. Godbless Lema - Kaskazini
4. Lazaro Nyalandu - Kati
Msemaji
John Mrema
Mkuu, Wapo wengi tu mbonaKigoma Kuna wakristo kwani.....?!?!
Sasa mbonaaaa? Sasa mbona!Mkuu, Wapo wengi tu mbona
Safu hii imekaa uongozi wa chuo kikuu cha kiislam MU cha MorogoroNimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Swali halina mashiko sana. Usitake structure za vyama kuwa lazima vifanane! Structure inaamuliwa na katiba ya vyama husika. Ndio maana CCM wana jumuia, ACT wana ngoma ...CDM usharika nk! Same kuna nchi kiongozi mkuu ni Rais, nyingine kiongozi mkuu wa Serikali ni Waziri mkuu! Kenya hawana waziri mkuu, Tanzania tunaye!Mimi nauliza 1. kiongozi mkuu na mwenyekiti nini tofauti ya kazi zao? 2. Kiongozi mkuu kwa kingereza cheo chake tumuiteje?
Ilikuwaje ?Nimejikuta naikumbuka NSSF ya Dr. Ramadhan Dau
ACT-Wazalendo wameenda vitani na silaha walizonazo!Sioni tatizo labda kama una ushahidi watu walibaguliwa makusudi kwa mrengo wa dini.
Mkuu;Ccm hii tabia yenu ya kuwavalisha wenzenu makoti ya udini na ukabila ili kuwachafua na kuwagawa sio afya kwa ustawi wa demokrasia nchini na inavuruga umoja,amani na utulivu uliopo nchini.
Chama cha waislamu.Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Vyama vyetu vya siasa vinafikirisha sana!ACT ni kikundi cha wanaharakati wa kutetea dini flani, sawa na chadema ambao ni kikundi cha kikabila
Hivi vyama ni hatari kwa umoja wa kitaifa.
Hii