Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Nimejikuta naikumbuka NSSF ya Dr. Ramadhan Dau
😂🤣Ndio maana unakuta zitto analilia cag wa zamani...nini? Kabila yetu bwana😅. Hakuna facts wala logic ila sentiments tu.
 
Kuna mtu kasema ni km uongozi wa madrasa?!?!?!?!?!?!?!
 
Idea ya yule kijana ilikuwa ni kushika ngome ya waumini fulani, halafu atumie kila hila kuunganisha ngome ya imani nyingine ili kukibwaga chama tawala. Lakini hiyo idea imekuwa nzuri kwenye ndoto tu, kuliko kwenye uhalisia wa siasa za nchi hii.
Yaa huenda ni strategy ila anajali kufika anakoenda kuliko maafa kutokana na njia anayotumia. Taifa changa tunatafuta kuendelea amani na umoja ni jambo muhimi sana. Kutumia mbinu za udini au ukabila zinaweza kubomoa kabisa badala ya kujenga
 
Hebu niwekee safu ya chadema

Ngoja nikusaidie ya Chadema

1. Mwenyekiti - Freeman Aikael Mbowe
2. Makamu Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu
3. Katibu mkuu - John Mnyika
4. Naibu katibu mkuu Bara - Benson Kigaila
5.Naibu Katibu mkuu zenji - Salum Mwalimu
6. Mwenyekiti Bavicha - John Pambalu

Viongozi wa Kanda
1. Peter Msigwa - Nyasa
2. Ezekia Wenje - Victoria
3. Godbless Lema - Kaskazini
4. Lazaro Nyalandu - Kati

Msemaji
John Mrema
 
Ni yaleyale, nyinyi watu, kiukweli kabisa, Taifa hili ni la kila mmoja, jitahidini kujenga taswira nzuri kwenye Uongozi wa Vyama vyetu ili kuondoa dhana hii inayotajwa kuwa ni udini
 
hapo ndo ccm inatoboa,anapita kati.
Act-waislamu
cdm - wakristo.

sasa hapo mshaanza kushambuliana mwisho wa siku mnaanza kubana pua "tumeibiwa kura"kumbe mmebadilishiwa mada ili muachie tobo ccm apite kiulaiiini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!

Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!

Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif

Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani

Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.

Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:

Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga

Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo

Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud

Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani

Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe

Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo

Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid

Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande

Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor

Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda

Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.

Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Safu hii imekaa uongozi wa chuo kikuu cha kiislam MU cha Morogoro
 
Mimi nauliza 1. kiongozi mkuu na mwenyekiti nini tofauti ya kazi zao? 2. Kiongozi mkuu kwa kingereza cheo chake tumuiteje?
Swali halina mashiko sana. Usitake structure za vyama kuwa lazima vifanane! Structure inaamuliwa na katiba ya vyama husika. Ndio maana CCM wana jumuia, ACT wana ngoma ...CDM usharika nk! Same kuna nchi kiongozi mkuu ni Rais, nyingine kiongozi mkuu wa Serikali ni Waziri mkuu! Kenya hawana waziri mkuu, Tanzania tunaye!
 
Ccm hii tabia yenu ya kuwavalisha wenzenu makoti ya udini na ukabila ili kuwachafua na kuwagawa sio afya kwa ustawi wa demokrasia nchini na inavuruga umoja,amani na utulivu uliopo nchini.
Mkuu;
Nani amevalishwa koti la udini?
 
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!

Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!

Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif

Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani

Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.

Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:

Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga

Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo

Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud

Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani

Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe

Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo

Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid

Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande

Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor

Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda

Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.

Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Chama cha waislamu.
 
Hebu wekeni ya chadema tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii
tapatalk_-595598743_180x375.jpg

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom