Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Sisi tunaiona imesheheni watanzania, kama umeiona tofauti sema ww tofauti iliyopo na useme ulitaka iweje.
Kwa sababu iko hivi unaona Haina impact, ngoja igeuke iwe kivingine ndio utaipata habar yake,.
 
Wewe unajifanyaga mwelevu kumbe ni empty headed! Unajidhalilisha...... yanayofanywa na CCM huyaoni? Rubbish!
 
Ngoja nikusaidie ya Chadema

1. Mwenyekiti - Freeman Aikael Mbowe
2. Makamu Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu
3. Katibu mkuu - John Mnyika
4. Naibu katibu mkuu Bara - Benson Kigaila
5.Naibu Katibu mkuu zenji - Salum Mwalimu
6. Mwenyekiti Bavicha - John Pambalu

Viongozi wa Kanda
1. Peter Msigwa - Nyasa
2. Ezekia Wenje - Victoria
3. Godbless Lema - Kaskazini
4. Lazaro Nyalandu - Kati

Msemaji
John Mrema
 
Hii ya Chadema vipi mbona wazee wa vibalaghashia wapo dusu.

1. Mwenyekiti - Freeman Aikael Mbowe
2. Makamu Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu
3. Katibu mkuu - John Mnyika
4. Naibu katibu mkuu Bara - Benson Kigaila
5.Naibu Katibu mkuu zenji - Salum Mwalimu
6. Mwenyekiti Bavicha - John Pambalu

Viongozi wa Kanda
1. Peter Msigwa - Nyasa
2. Ezekia Wenje - Victoria
3. Godbless Lema - Kaskazini
4. Lazaro Nyalandu - Kati

Msemaji
John Mrema
 
Mkuu, nimesema!!! Ni yaleyale tu, kama huku tunakemea Udini, basi hata hawa jamaa hawakwepi hili, ili kumnyima agenda CCM katika hili kwani hatuwezi kuzuia Kwa kumchagua viongozi wetu Kwa kuondoka hii dhana ingawaje haina mashiko??
 


Wakristo ni 78% ya wananchi wote hivyo huwezi kukwepa hii
 
Sema unatamani ccm iendelee kutawala milele, na sio kwamba itatawala milele.
Achana naye huyo kamanda.
Hata asipotamani CCM itaendelea kutawala tu hadi wapinzani tutakapoacha kuchagua wapiga dili kutuongoza.
 
Achana naye huyo kamanda.
Hata asipotamani CCM itaendelea kutawala tu hadi wapinzani tutakapoacha kuchagua wapiga dili kutuongoza.

Nitajie chama chenye viongozi wasiopiga deal.
 
Hayo ni majina tu hayahisiani na udini! Jina la Pombe au Polepole au Maharagande kwani liko kwenye Ukristooo? Lakini wenyr majina hayo ni Wakristo. Kama walivorisishwa majina kina Pombe na ndio walivorisishwa majina hao kina Nassor na Mohammed na kina Augustino Ramadhani!

Arsene Wenger aliwahi kuulizwa kwa nini una wachezaji wasio wa Kiengerza wengi kwenye timu yako? Alijibu, "Ninaposajili mchezaji mimi siangalii passport yake naangalia performance yake!

Hichi Chama base yake iko Kigoma na Zanzibat. What did you expect?
 
Sasa kama hawakupatikana wagombea zaidi ya hao ulitaka wafanyeje?!

Au wakaokote watu mtaani ili tu wakuridhishe wewe!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli mku kama watu wa aina tunayoitaka hawakujitokeza, tulitaka ACT wahairishe uchaguzi? IMPOSSIBLE! Lazima uchaguzi uendelee kama kawa.

Mimi swali langu dogo lilikuwa kwamba wangapi walijitokeza kugombea hiyo nafasi namba moja ya Mh. Zitto? au alipita bila kupingwa?
 
Nitajie chama chenye viongozi wasiopiga deal.
Vyote vinapiga dili.
Duh! Nimekumbuka dili la akina Lisu na CCM la 2015
Limetufanya hadi leo tumekuwa chama cha kupambana na Polisi, Magereza na Mahakama.
 
Vyote vinapiga dili.
Duh! Nimekumbuka dili la akina Lisu na CCM la 2015
Limetufanya hadi leo tumekuwa chama cha kupambana na Polisi, Magereza na Mahakama.

Hoja yako ni nini hapa dogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…