Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Mkuu;
Maoni yako yameniacha ''njiapanda''!
 
Wewe nawe!

Kwani kuna chama cha siasa nchini ambacho kina viongozi sio watanzania?

Hicho ndio kigezo cha kuwa mwanachama au kiongozi wa chama chochote ndani ya nchi hii. Ndio maana nimekuambia ulitaka kiwejee kwa mfano hicho chama kwa hiyo list hapo?
 
Yale ya cuf yanajirudia
 
Weka ya NCCR Mageuzi na TLP kwanza

Ngoja nikusaidie ya Chadema

1. Mwenyekiti - Freeman Aikael Mbowe
2. Makamu Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu
3. Katibu mkuu - John Mnyika
4. Naibu katibu mkuu Bara - Benson Kigaila
5.Naibu Katibu mkuu zenji - Salum Mwalimu
6. Mwenyekiti Bavicha - John Pambalu

Viongozi wa Kanda
1. Peter Msigwa - Nyasa
2. Ezekia Wenje - Victoria
3. Godbless Lema - Kaskazini
4. Lazaro Nyalandu - Kati

Msemaji
John Mrema
 
Sasa kama hawakupatikana wagombea zaidi ya hao ulitaka wafanyeje?!

Au wakaokote watu mtaani ili tu wakuridhishe wewe!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli zito anakosa ushawishi wa makundi mengine? sasa atachukuaje dola, alafu kuna manjinga yanamlinganisha na Mbowe.
sidhani kama wanaweza kumshawishi Membe ajiunge nao
 
Unataka kusema A. C. T ni chama waislamu na chadema ni SACCOS YA KICHAGGA.


KUWA MUWAZI ACHA MAFUMBO.


Kama jinalako lilivyoo.
Unataka niwe muwazi kwa kiwango kipi wakati nimekuwa muwazi wa kuweka safu nzima ya uongozi wa Juu wa ACT-Wazalendo!

Sidhani kama kuna mafumbo katika mada yangu kama unachambua masuala nje ya box!
 
Hebu niwekee safu ya chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…