π Kafanikishe furaha ya mtoto aiseehYamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Pumbavu!
Hivi chekechea mtoto anahitaji hongera ya nini kama sio kumuingizia pepo la kupenda kurukaruka ukubwani!
Nimekasirika kweli!
Hapana siyo tu tumbili. Bali nitumbili wa kiwango cha juu kabisa cha utumbili. Aah nimejibu wakati sijaulozwaKwahiyo wenzio wanaoshiriki ni tumbili?
Mimi huwa nashangaa sana mtu anachagulia chuo kikuu anaandaa shere
Wapi tena hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afadhali wewe umealikwa kwenye Graduation ya Chekechea. Eliona Kimaro Mchungaji wa KKKT KIJITONYAMA alialikwa kumuombea mbwa apokee uponyaji
Kweli ndugu... mimi huwa nikipita sehemu nikakuta watoto rika la pre-school wanacheza lazima nisimame nitazame burudani kwa muda. Hata nikiwa na shughuli zangu zitakazonitaka niende kwenye hizi huwa napenda nifike wakati wa mapumziko nifurahie. Kuna raha fulani hivi kuwatazama na yale makelele.Na Leo graduation zilikuwa nyingi ππ
Mimi Sina mtoto wa kugraduate ila wazazi wa shule nzima tulialikwa, ni vile tu NIMEONA una ajenda zako ila ni RAHA sana ukiwaangalia watoto kwenye functions kama hizi.
Mungu akupe wepesi