Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

Kuna mama alimfanyia mwanae sherehe kubwa kweli baada ya kuhitimu kidato cha nne.

Tulikula, kunywa na kusaza. Matokeo kutoka mtoto kazungusha. Hadi leo yule mama akili haijakaa sawa.
 
Ukiona starehe ya mwenzio ya mwenzio inakuumiza ujuwe kuna tatizo sehemu
Sijaumizwa na haitotokea niumizwe na vitu vya watu kama hivyo, kama ni muelewa, utaona kuwa kilichoniumiza ni kualikwa....kuhusishwa.
 
Sawa!
 
Sasa kama hufurahii vya mwanao usione ujinga mtu kufurahia vya mwanae tuko tofauti kwenye mtazamo. Kama kakukera unge mute na kwenye sherehe usiende unakua umejipunguzia kiungulia
Ndiyo ninae, unataka kusemaje?
 
We acha tu hapa na mtazama wife anavoshupaza shingo kuhusu hako graduation ka mtoto na huu mwisho wa mwaka .nime mwambia nikikupa hii pesa basi siku kuu utakula ugali
Safi kabisa
 
Kata kipande cha sabuni kisindikize na coca bariiiid ili povu lake lifunike jukwaa
 
Chekechea imezidi ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…