Hii sasa ni Dharau kwa MaMiss wetu....

Hii sasa ni Dharau kwa MaMiss wetu....

tena angepewa mkokoteni, baba yao waliyemwamini si ndio kaharibu mambo zaidi?
 
waandaji watoe wapi pesa ilhali uchumi umekufa?
au hunielewi!
Ni km vile unalalamika ushuzi, kwani hao huwa wanapata wapi fedha km sio kwa wadhamini wao, wameshindwa kutafuta wadhamini, kamati ya maandalizi ndo wameshindwa kufanya kazi zao vizuri sio baba yao, wamekaa wameshika vichwa wakaona hizi hela tutazigawanaje wakaona tutaenda hapo gerej ya mwana watachukua kiscrepa wakipake rangi wakasahau hata kuweka matairi wakakusanya spea tairi 4 wakapachika, ni upuuzi wao tu wenyewe wanataka kugawana embe dodo afu kokwa akale mshindi, wafanye kazi zao watafute wadhamini
 
Kwani wao bikra Au unaongea tu. Watapewa kutokana n walivyo.
Hapo tu kwenye mstali sahihi
 
Teh teh sahvi Nani atakupa gari la mln 60

Ova
 
Teh teh sahvi Nani atakupa gari la mln 60

Ova
Sio swala la uchumi, kwan zamani uchumi ulikuaje, km dola haijashuka thamani na tzs, uchumi uleule, uzembe tu na hamna ubunifu, siwez kuamini zamani watu walikua wanapewa zawadi kutokana na pesa za upigaji na dili, haipo hivyo, kumekosa mvuto tu
 
Haha aisee hapo labda mshindi akauze tu kachara maana akiamua kukaa nayo itammalizia visenti vyake tu
 
Angalia hii zawadi ya Miss Kanda ya Ziwa 2018 (Miss Lake Zone) ifike wakati sasa tuache kuwadhalilisha mabinti zetu tunaua morali na vipaji kwa upuuzi kama huu....#WTFView attachment 825629View attachment 825630
Zoom
IMG-20180803-WA0013.jpg
 
Na ni hatari pia, hiyo tairi inaweza ikamsababishia ajali hata mara tu baada ya kukabidhiwa gari. Halafu hiyo wheel yenye matope, hivi alloy wheels siku hizi ni gharama sana?
 
Angalia hii zawadi ya Miss Kanda ya Ziwa 2018 (Miss Lake Zone) ifike wakati sasa tuache kuwadhalilisha mabinti zetu tunaua morali na vipaji kwa upuuzi kama huu....#WTFView attachment 825629View attachment 825630
umiss ndo nini wao wenyewe mpaka akili iwarudi na wajitambue hawana kazi zakufanya wakalime,Tanzania imejaa rasilimali zakutosha kama wanataka mali na magari mazuri wataipata shambani c kuonyesha viungo nyao majukwaani mbele ya walioshiba.kwa huu mkweche inaonekana hakuna bikra, wadhamini waliona hao mamiss wote wameshatumika vyakutosha ndomaana walipewa gari iliyotumika choka mbaya ilikuendana na hadhi yao
 
Back
Top Bottom