Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yao yupo kamati ya zawadi au maandalizi ya zawaditena angepewa mkokoteni, baba yao waliyemwamini si ndio kaharibu mambo zaidi?
waandaji watoe wapi pesa ilhali uchumi umekufa?Baba yao yupo kamati ya zawadi au maandalizi ya zawadi
Ni km vile unalalamika ushuzi, kwani hao huwa wanapata wapi fedha km sio kwa wadhamini wao, wameshindwa kutafuta wadhamini, kamati ya maandalizi ndo wameshindwa kufanya kazi zao vizuri sio baba yao, wamekaa wameshika vichwa wakaona hizi hela tutazigawanaje wakaona tutaenda hapo gerej ya mwana watachukua kiscrepa wakipake rangi wakasahau hata kuweka matairi wakakusanya spea tairi 4 wakapachika, ni upuuzi wao tu wenyewe wanataka kugawana embe dodo afu kokwa akale mshindi, wafanye kazi zao watafute wadhaminiwaandaji watoe wapi pesa ilhali uchumi umekufa?
au hunielewi!
hahahaDah kiukweli hizi ni Dharau Kavu kwa hawa Mabinti kwanini wasiwapatie basi hata Memory Card ya GB 60 kuliko hako kagari.
Ukipewa huchukui.....Mbovu hiyo gari
Sio swala la uchumi, kwan zamani uchumi ulikuaje, km dola haijashuka thamani na tzs, uchumi uleule, uzembe tu na hamna ubunifu, siwez kuamini zamani watu walikua wanapewa zawadi kutokana na pesa za upigaji na dili, haipo hivyo, kumekosa mvuto tuTeh teh sahvi Nani atakupa gari la mln 60
Ova
ZoomAngalia hii zawadi ya Miss Kanda ya Ziwa 2018 (Miss Lake Zone) ifike wakati sasa tuache kuwadhalilisha mabinti zetu tunaua morali na vipaji kwa upuuzi kama huu....#WTFView attachment 825629View attachment 825630
kamepigwa 🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kamepigwa 🙂
umiss ndo nini wao wenyewe mpaka akili iwarudi na wajitambue hawana kazi zakufanya wakalime,Tanzania imejaa rasilimali zakutosha kama wanataka mali na magari mazuri wataipata shambani c kuonyesha viungo nyao majukwaani mbele ya walioshiba.kwa huu mkweche inaonekana hakuna bikra, wadhamini waliona hao mamiss wote wameshatumika vyakutosha ndomaana walipewa gari iliyotumika choka mbaya ilikuendana na hadhi yaoAngalia hii zawadi ya Miss Kanda ya Ziwa 2018 (Miss Lake Zone) ifike wakati sasa tuache kuwadhalilisha mabinti zetu tunaua morali na vipaji kwa upuuzi kama huu....#WTFView attachment 825629View attachment 825630