Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

Hao wa Europe ndio wanaharibu mpira kwa kuchukua wachezaji South America na kuwaweka bench Europe ili Ligi zao ziendelee kutawala Dunia,European clubs do it to South American clubs all the time,hakuna maajabu,Footbal ni mchezo wa Dunia nzima na sio Europe tu.
Unacho ongea ni tofauti na nnacho maanisha point yangu hao warabu wanatumia vibaya pesa za mafuta hata huko Saudia wachezaji wana kaa bench labda kama hua wanaingia 11 bila reserve
 
Imekuwa ni ndoto ya kila mchezaji mzuri duniani kuweza kucheza soka barani ulaya!! Lakini mambo yakiendelea hivi kwa kasi hii ya pesa za waarabu, naona upepo ukibadilika na ndoto za wachezaji wengi kuhamia ligi kuu ya Saudi Arabia!! Nani asiyependa fedha?
Kabla ya Wao; Wachina walifanya hii kitu, lakini mwisho wa siku ilianguka na kufa kifo cha kawaida; Kumwaga pesa pekee, tena nyingi kiasi hiki sio sustainable....

Ingawa sio wao tu, hata ukiniuliza kuhusu premier league sio sustainable Teams nyingi zinapumulia mashine na mtikisiko mdogo wa kiuchumi tu ni maporomoko makubwa..., Mpira ulikuwa enzi zile ambapo Timu zinajiendesha kwa mapato na pesa za mashabiki na sio tajiri mmoja mwenye ego....
 
Unacho ongea ni tofauti na nnacho maanisha point yangu hao warabu wanatumia vibaya pesa za mafuta hata huko Saudia wachezaji wana kaa bench labda kama hua wanaingia 11 bila reserve
Hakuna utofauti wowote hapo,hata Europe wanatumia pesa kushawishi wachezaji wa South America,

Saudi Arabia sawa ana mafuta ila unajua kua nchi nyingi tu Africa zina naturaul resources nyingi kushinda hao Saudi Arabia? Issue hapa ni kwamba unaitumiaje natural resources yako ili iinufaishe nchi?
 
Pesa itumike ila sio kwa style hii, huku ni kuharibu mpira
 
Madau makubwa yanatumika kuhamisha Mpira wa miguu kutoka Ulaya kwenda Arabuni.
Soon Uchumi wa kisoka utaporomoka Ulaya na kufanya Arabuni iwe sehemu muhimu ya utalii wa michezo Duniani.
 
Hao wa Europe ndio wanaharibu mpira kwa kuchukua wachezaji South America na kuwaweka bench Europe ili Ligi zao ziendelee kutawala Dunia,European clubs do it to South American clubs all the time,hakuna maajabu,Footbal ni mchezo wa Dunia nzima na sio Europe tu.
Mpira unazumguka,that why today Simba S.C ni mojawapo vilabu Bora Afrika.
 
Back
Top Bottom