Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

Mimi ningekuwa Mo Salah ningekuwa nimeshaliamsha kitambo Sana.Hiyo pesa Ni ndefu Sana kwa kweli 🤔
 
Kwa mtu anayehitaji ushindani hawezi enda Saudi, wanao kwenda huko washajikatia tamaa na soka la ushindani . Kama mpumbavu akiwa mbappe au Messi waliwekewa vibunda vya kwenda[emoji174]

Ushindani na pesa haviendani mkuu
 
Ushindani na pesa haviendani mkuu
Salah Liverpool anachukua mshahara mnono tu auwezi fkia wa Saudi lkn mchezaj anaangalia record zake bnafsi mf, mchezaj bor wa dunia na tuzo mbalimbali ukiachilia mataji bora ya ulaya ukilinganisha na uarabuni hakuna hamsha hamsha
 
Hivi Huko Saudi Arabia hakuna upungufu wa dola?
 
Back
Top Bottom