Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

Yani sensa, nimeamka tangu saa 12 asubuhi najua watafika fasta nisepe zangu. Familia Iko mkoa na mimi nipo peke yangu home, kifatacho ikifika saa 6 kamili mchana nafunga mlango na mageti nasepa kwenye mishe zingine!

Nawaza niandikie number za simu getini? Tatizo vishkwambi vyao vimewezeshwa na talk time? Hii naona itakua changamoto kwa watu wengi.
We ndo hujaliewa zoez la sensa. Unamsubiria MTU ambaye hujaagana naye.
 
Back
Top Bottom