Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,711
Ni jambo la kushangaza sana kuona serikali haifanyi jitihada zozote kuokoa jahazi la graduates wengi walioko mitaani bila kuwa na kazi yoyote rasmi.
Serikali inatumia gharama kubwa sana kuwasomesha hawa vijana ili wapate degree mbalimbali katika nyanja tofauti, baada ya hapo hatuoni jitihada za kuwakwaamua katika janga la ukosefu wa ajira na Fursa za kujiajiri.
Je, serikali iko tayari tu kununua magoli ya Simba na Yanga na kutoa mitaji kwa dada Poa tu?
Inauma sana kutoa hawa ndugu zetu wakihimizwa kujiajiri na watu ambao wameajiriwa.