Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,711
Hii ni akili kubwa mkuu.Halafu bado mnaniambia nimpeleke mtoto wangu English Medium nilipe mamilioni huko halafu aje aishie kukaa mtaani akiwa hana shida wakati naweza kusave hayo mamilioni kwa my invest kwenye mambo mengine ya kimaendeleo mtoto akasoma kayumba nikamuwekea tuition nzuri ya Kiingereza. Huko kayumba walau atajifunza walau hata namna ya kujitegemea na kuwajibika.
Mwenye kusikia na asikieHii ni akili kubwa mkuu.
Magu ndo chanzo kikwete aliwezaje???? Koleza motoo
Ohhh basi kama ndo hivo basi sasaivi ndo maitaji makubwa zaidi mfano KATA yetu inashule 2 za upili Moja inaisha kidato Cha nne na nyingine inafika Hadi kidato Cha 6 ya kidato Cha nne inawalimu 17 Ina mwalimu Mmoja tu wa kiswahili na hiyo inayofika Hadi Cha 6 inawalimu 22 na Kila kikao kinapoitishwa tunaambiwa tuchangie kidogo hili wawalipe walimu wanaojitolea wawaongezee nguvu mana wao awatoshei. Why serikali isiajiri walimu wapya wawapeleke huko na hapa ni mjini kabisa je uko vijijini mambo yatakuwaje kama hapa kunauhaba huu akuna ata walimu wa kiswahili uko upande wa elimu tu, KATA yetu Ina mitaa 17 na Ina maafisa watendaji wa mitaa 6 tu awa wagawane hiyo mitaa 17 wasimamie shughuli za maendeleo kikamilifu awa maroboti? Kwa Nini serikali isiajiri wakati uhaba uhupo na ndio huu unaendelea sasaPopulation inaongezeka kila mwaka.
Idadi ya wahitimu aliokuwa nao kikwete kila mwaka ni ndogo kuliko ya Magu ama mama Samia.
Pia kipindi cha kikwete uhitaji wa walimu ulikuwa mkubwa maana kila kata ilikuwa imejengewa shule mpya
Shule moja tu ya kata inahitaji walimu wasiopungua 50. Piga hesabu kata zote nchi nzima shule za kata zilijengwa ngapi kisha upime fursa za ajira za walimu zilikuwa ngapi kipindi hiko ?
NakaziašPopulation ikiongezeka,walipa kodi pia wanaongezeka,soko la chakula na bidhaa nyingine zinaongeka,idadi ya wanafunzi pia inaongezeka,hivyo na walimu wanaotakiwa ni wengi pia.Serikali iongeze wigo wa utoaji ajira,mtaani kugumu sana,tunaosomea ualimu,maranyingi ni watu kutoka familia zenye vipato duni,na iko wazi,kujiajiri I nahitaji mtaji.Mambo ya kusema endesha bodaboda,athari zake ni kubwa,kwani ukipata ajali na huna bima,mfano ukavunja uti wa mgongo,gharama za matibabu ni kubwa sana.Serikali iangalie namna kwakweli.Japo tupo na tunajitahidi kupambana,lakini pia serikali pia ipambane,isiishie kusema tunaisema vibaya mitandaoni tu.
Drs la saba, form two, form4, form six dropout nani huwa anawasaidia?Ni jambo la kushangaza sana kuona serikali haifanyi jitihada zozote kuokoa jahazi la graduates wengi walioko mitaani bila kuwa na kazi yoyote rasmi.
Serikali inatumia gharama kubwa sana kuwasomesha hawa vijana ili wapate degree mbalimbali katika nyanja tofauti, baada ya hapo hatuoni jitihada za kuwakwaamua katika janga la ukosefu wa ajira na Fursa za kujiajiri.
Je, serikali iko tayari tu kununua magoli ya Simba na Yanga na kutoa mitaji kwa dada Poa tu?
Inauma sana kutoa hawa ndugu zetu wakihimizwa kujiajiri na watu ambao wameajiriwa.
Drs la saba, form two, form4, form six dropout nani huwa anawasaidia?
Mpewe mkopo wa kusoma bado msaidiwe.
Wenzenu wana hustle hawajawahi nusa harufu ya kukopwa.
Mmesaidiwa pakubwa sana.
Wewe kama ni mtaalamu wa madini basi kuna mwenzio amejifunzia madini kwenye mashimo akiwa na sururu.
Yupi anastahili kuilaumu serikali hapo ?
Kupewa elimu ni msaaada mkubwa hata kuliko kazi yenyewe.
Ila mna haki ya kulaumu nasi tuna haki ya kuwalaumu. Afrika ni ardhi ya lawama, kila mtu anamlaumu mwingine, hatuwajibiki kwa kushindwa kwetu bali mtu mwingine
Magu ndio kakuza tatizo kwa kiasi kikubwaPopulation inaongezeka kila mwaka.
Idadi ya wahitimu aliokuwa nao kikwete kila mwaka ni ndogo kuliko ya Magu ama mama Samia.
Pia kipindi cha kikwete uhitaji wa walimu ulikuwa mkubwa maana kila kata ilikuwa imejengewa shule mpya
Shule moja tu ya kata inahitaji walimu wasiopungua 50. Piga hesabu kata zote nchi nzima shule za kata zilijengwa ngapi kisha upime fursa za ajira za walimu zilikuwa ngapi kipindi hiko ?
Magu ndio kakuza tatizo kwa kiasi kikubwa
NakaziašMagu ndio kakuza tatizo kwa kiasi kikubwa
Angalau Sasa tunazisikia zinatoka miaka hii mfululizo ndugu zetu wanaambulia kidogoMagu hayupo kafariki almost miaka mitatu sasa.
Je ajira za walimu zimerudishwa kwa kupangiwa moja kwa moja kama enzi za kikwete ?
Kwa mzigo ulikuepo hata ukitoa ajira haziwezi fikia wote mkeka wa walimu wa juzi ni wametolewa wale wa 2015 na 2016. Kuna 2017 na kuendelea hawajaguswa kabisa.Magu hayupo kafariki almost miaka mitatu sasa.
Je ajira za walimu zimerudishwa kwa kupangiwa moja kwa moja kama enzi za kikwete ?
Tatizo hata kukifanyika hayo mnaita mapinduzi hakuna jobless atakayepata hiyo ajira.Hao vijana waliopo mtaani bila ajira, ndio hawa wanaoshangilia mapinduzi.