Hii Serikali imeteletekeza vijana waliokwenda shule

Elimu ni pamoja na kujitegemea....mnaweza kuanzisha kitu kipya.....mifumo mbadala ya kujiingizia kipato.....forget about serikali......la Cosa nostra....kuweni hata smart digital mafioso
 
Mmesoma, anzisheni makampuni muajili ambao hawajasoma
Kama msomi unalakamika vipi walioishia drs la7? Kwamantiki hio mmesoma hamjaelimika hata mkiajiliwa hamtakuwa na ubunifu wowote huko kazini.
Jifunze kuanza kutoka sifuri. Geuza ujuzi wako uwe pesa. Tafuta mentor akuongoze uweze kuona mwanga maana bado upo ktk giza.
Serikali imemaliza jukumu lake la kukusomesha sasa ni muda wa wewe kuzalisha ili serikali ipate kodi.
Tafuteni confidence!
 
Unaijua brela????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…