GE2025 Hii si sawa: Mtu amezunguka nchi nzima kuomba kura kwanini mnajadili ku nullify matokeo?

GE2025 Hii si sawa: Mtu amezunguka nchi nzima kuomba kura kwanini mnajadili ku nullify matokeo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
786
Reaction score
2,860
Wanabodi,

Wapo watu wanasema ya kuwa:
Kama mwitikio wa wapiga kura utakuwa below 40% basi process nzima iwe batili na mchakato uanze upya.

Mimi nauliza:

Utajisikiaje kama ni wewe umezunguka nchi nzima, umesomba watu maelfu kwa maelfu hadi kwa trekta, umetumia zaidi ya billion 100, umeambiwa unafanya kazi bure.

Halafu wanakuja watu wanasema ah! tuanze upya. Hauoni ya kwamba kukubaliana nao utakuwa umekubaliana na wale wanaodai ya kuwa hauna maono ya ki uongozi?. Utawaambia nini mabilionea waliokuchangia pesa zao?

Wewe utakubali kweli given unao uwezo wa kujitangaza na maisha yakaendelea tu?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Wanabodi,

Wapo watu wanasema ya kuwa:
Kama mwitikio wa wapiga kura utakuwa below 40% basi process nzima iwe batili na mchakato uanze upya.

Mimi nauliza:

Utajisikiaje kama ni wewe umezunguka nchi nzima, umesomba watu maelfu kwa maelfu hadi kwa trekta, umetumia zaidi ya billion 100, umeambiwa unafanya kazi bure.

Halafu wanakuja watu wanasema ah! tuanze upya. Hauoni ya kwamba kukubaliana nao utakuwa umekubaliana na wale wanaodai ya kuwa hauna maono ya ki uongozi?. Utawaambia nini mabilionea waliokuchangia pesa zao?

Wewe utakubali kweli given unao uwezo wa kujitangaza na maisha yakaendelea tu?
Mkuu,

Hizi habari umezipata wapi? Umezihakiki vipi?

Sasa hivi kuna habari nyingi za uongo na uvumi wa kimkakati na wa tabia tu.

Umeihakiki vipi hii habari?
 
 
Mchakato wa yeye kuwa mgombea ni batili
uchaguzi ni batili
tume ya uchaguzi batili
wapiga kura nao batili
So automatically rais atakaechaguliwa naye ni BATILI

THE END!
 
Mgombea gani sasa au yule alosusa juzi 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom