GE2025 Hii si sawa: Mtu amezunguka nchi nzima kuomba kura kwanini mnajadili ku nullify matokeo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanabodi,

Wapo watu wanasema ya kuwa:
Kama mwitikio wa wapiga kura utakuwa below 40% basi process nzima iwe batili na mchakato uanze upya.

Mimi nauliza:

Utajisikiaje kama ni wewe umezunguka nchi nzima, umesomba watu maelfu kwa maelfu hadi kwa trekta, umetumia zaidi ya billion 100, umeambiwa unafanya kazi bure.

Halafu wanakuja watu wanasema ah! tuanze upya. Hauoni ya kwamba kukubaliana nao utakuwa umekubaliana na wale wanaodai ya kuwa hauna maono ya ki uongozi?. Utawaambia nini mabilionea waliokuchangia pesa zao?

Wewe utakubali kweli given unao uwezo wa kujitangaza na maisha yakaendelea tu?

..ungekuwa tayari kuteka, na kuuwa?

..kwanini asisepe na Billioni 100 alizochangisha, na mafao ya kustaafu?
 
Wanabodi,

Wapo watu wanasema ya kuwa:
Kama mwitikio wa wapiga kura utakuwa below 40% basi process nzima iwe batili na mchakato uanze upya.

Mimi nauliza:

Utajisikiaje kama ni wewe umezunguka nchi nzima, umesomba watu maelfu kwa maelfu hadi kwa trekta, umetumia zaidi ya billion 100, umeambiwa unafanya kazi bure.

Halafu wanakuja watu wanasema ah! tuanze upya. Hauoni ya kwamba kukubaliana nao utakuwa umekubaliana na wale wanaodai ya kuwa hauna maono ya ki uongozi?. Utawaambia nini mabilionea waliokuchangia pesa zao?

Wewe utakubali kweli given unao uwezo wa kujitangaza na maisha yakaendelea tu?
Kwani tulimlazimisha azunguke nchi nzima!? Alifanya hivo kwa mapenzi yake binafsi..Ww mtu hupendwi lkn Bado king'ang'anizi atutolee ujinga wake hapa.
 
Back
Top Bottom