Hii sio fursa ni janja ya Mbowe kutafuta pesa. Yaani tumekuwa mawakala wa kusajili kadi za CHADEMA? Tuko hoi bin taabani

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
"Ninawasihi vijana wenzangu najua tumepigika kweli kweli lakini awamu hii Chadema imeleta fursa. Kila kijana atakayekuwa wakala wa usajili wanachama wa Chadema, kila utakaposajili mtu mmoja unapata shilingi mia tano." Mhe. John Pambalu
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upuuzi mtupu,

Kwa kuwa vijana wamepigika, anadhani hiyo ndiyo ajira anayoitoa Mbowe Kwa vijana, Kwanza ni dhihaka Kwa vijana,

Hivi chadema, vijana huwa wanawaonaje?? Kwamba ni wahitaji saaana!! Na uhitaji wao umefikia kiwango cha kulipwa Mia Mia???šŸ˜‚
 
CHADEMA wamekua machinga siku hizi. Eti wanakataa ruzuku wanataka kuchangiwa haya wale mazwazwa wapeni hao kina Mbowe michango. Kwanza tuliambiwa Mbowe ni billionera michango ya nn tena
 
Kamanda mbona umechukia? Najua una hali ngumu kimaisha,sajili wanachama upate ujira
Ujinga si sofa wala heshima,.kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha huu ugoro hapa..

chadema inajenga ofisi nchi nzima kila kanda mbona hukulianzishia Uzi?

Kumbuka Chadema haichukui hata senti ya ruzuku... Kuficha ujinga si dhambi
 
Ujinga si sofa wala heshima,.kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha huu ugoro hapa..

chadema inajenga ofisi nchi nzima kila kanda mbona hukulianzishia Uzi?

Kumbuka Chadema haichukui hata senti ya ruzuku... Kuficha ujinga si dhambi
Roho ya kimaskini inamsumbua huyu mpuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…