Hii sio fursa ni janja ya Mbowe kutafuta pesa. Yaani tumekuwa mawakala wa kusajili kadi za CHADEMA? Tuko hoi bin taabani

Hii sio fursa ni janja ya Mbowe kutafuta pesa. Yaani tumekuwa mawakala wa kusajili kadi za CHADEMA? Tuko hoi bin taabani

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
"Ninawasihi vijana wenzangu najua tumepigika kweli kweli lakini awamu hii Chadema imeleta fursa. Kila kijana atakayekuwa wakala wa usajili wanachama wa Chadema, kila utakaposajili mtu mmoja unapata shilingi mia tano." Mhe. John Pambalu
 
CHADEMA wamekua machinga siku hizi. Eti wanakataa ruzuku wanataka kuchangiwa haya wale mazwazwa wapeni hao kina Mbowe michango. Kwanza tuliambiwa Mbowe ni billionera michango ya nn tena
 
Kamanda mbona umechukia? Najua una hali ngumu kimaisha,sajili wanachama upate ujira
Ujinga si sofa wala heshima,.kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha huu ugoro hapa..

chadema inajenga ofisi nchi nzima kila kanda mbona hukulianzishia Uzi?

Kumbuka Chadema haichukui hata senti ya ruzuku... Kuficha ujinga si dhambi
 
Roho ya kimaskini inamsumbua huyu mpuuzi
 
Back
Top Bottom