Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Mbinguni hutoboi utawarubuni malaika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinguni hutoboi utawarubuni malaika
Na Ushirikina wanaoutumia, mwezi Mmoja tu unakuta unapoteza familia yote 😢Mali sio shida unaweza kuwa nayo na usimpatie..changamoto ni kuruhusu kuingiza upenyo kwenye familia 😂😂
...Utoto Raha Sana...!Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.
KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.
Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Aisee, wapi huko ndugu?
Kwa hiyo ulitaka kumgegeda bure?Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.
KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.
Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Nilitaka nicomment kama wewe,hili ndilo jibu.Kuna wengine huwa wanaomba hvyo vihela ili uharakishe mchakato wa kula mbususu,anakuona uko slow kwenye huo mchakato
Kesi yako wewe iko tofauti na kesi ya mtoa mada.Achana nao hao
Mimi kuna demu kanitafuta baada ya kuto wasiliana karibia mwaka mzima
Basi akajifanya ana nipenda ma message ya kwanini hukunitafuta mara oooh nakumiss kumbe mavi matupu.
Nikasema fresh tuonane basi, akakubali mara tuma nauli nikasema kwani bei gani nikatuma. Aka anza kunipanga mara hawezi kuja mara nini nika potezea.
Ikawa sasa ni yule mtu ana omba umnunulie vocha mara vifurushi. Nilifanya hivo mara moja nikaona ina kuwa mazoea.
Sasa last week kaja na gia ya kusema weekend nayo panga kumlala ndio ana dalili za period kwahyo nimnunulie pedi bei gani 10k.
Since then nikaona hamna dem hapo ni mchunaji. Kwahyo mpaka sasa nisha mkataa ana tapa tapa tu kutuma message na kupiga simu. Nikiamua kujibu haya nisipo jibu fresh.
Kumhudia dem sio vibaya but at least nile zigo kwanza. Yale maisha ya kusema nikutongoze mwaka sijui hayapo tena. Unasema nifanye hivo wakati una jamaa kila jumamosi ana kuvua kila week.
Tandika hukoAisee, wapi huko ndugu?
Ni balaa.hongera kwa kulijua hilo mkuuNa Ushirikina wanaoutumia, mwezi Mmoja tu unakuta unapoteza familia yote 😢
Sasa kuombwa elf 10 unaacha kupokea simu, school boys mna shida sanaKuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.
KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.
Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Maelezo marefu, hayaendani au kuzungumzia udangaji?Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.
KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.
Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Hahahaha..................uzoefu unasaidia Sana.Ni balaa.hongera kwa kulijua hilo mkuu