Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Ungemtumia hyo alfu 10,halafu unampigia unamfundisha namna ya kudanga
 
Sijaelewa ulichoandika,na ulitaka kusema nini,...lakin nnauhakika wewe ni form two D
 
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.

KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.

Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Vyama na vikoba havimuchi mtu salama,wenye wake sisi na vipato vya kuunga kataza kabsa mkeo kwenye iyo mbanga.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana uzoefu upo.

😁😁nimefurahi tu anko dereva.

Hujambo lakini uliyembali na upeo wa jamii forums

Hahah 😊😊 wenyewe wanasema ng'ombe hazeeki maini na nyani mzee kakwepa mishale mingi...

Kwa sasa mimi ni bukheri wa afya otherwise hadi pale weye nesi aunt abiria wangu utaposema nahitaji drip...
 
Hahah 😊😊 wenyewe wanasema ng'ombe hazeeki maini na nyani mzee kakwepa mishale mingi...

Kwa sasa mimi ni bukheri wa afya otherwise hadi pale weye nesi aunt abiria wangu utaposema nahitaji drip...
Hakika Kwa ile comment yako si mikuki tu bali hata nyundo umezikwepa😀😀

Nafurahi kusikia hivyo😍😍hapa nilipo ni buheri wa afya iliyotele kabisa.

😁😁
😉😉
😘😘😘.
 
Tatizo ni elfu 10[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Muwage na nyie mnajiongeza, mwanamke anaeomba hela day one huyo ana yake. Mwanamke akikuelewa kweli hawezi kukuomba hela mapema hivyo.
Kujiongeza kwa maana ipi? Au akiomba hela na ww omba papuchi? Au una maana nyingine ya kujiongeza?
 
Kujiongeza kwa maana ipi? Au akiomba hela na ww omba papuchi? Au una maana nyingine ya kujiongeza?
Kujiongeza kwa maana ya kutambua hapa hamna upendo. Mwanamke akikuelewa/akikupenda hawezi kukuomba hela mapema hivyo.
 
Back
Top Bottom