Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hali Tete kila mtu ashinde mechi zakeKwa hiyo elfu kumi tu??
We unayo elfu 10 ya kugawa!!!??? Si bora amtumie mama yake ajipatie thwawabu.Kwa hiyo elfu kumi tu??
AftatuKwa hiyo elfu kumi tu??
Vyama na vikoba havimuchi mtu salama,wenye wake sisi na vipato vya kuunga kataza kabsa mkeo kwenye iyo mbanga.Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.
KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.
Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Inaonekana uzoefu upo.
Inaonekana uzoefu upo.
😁😁nimefurahi tu anko dereva.
Hujambo lakini uliyembali na upeo wa jamii forums
Hakika Kwa ile comment yako si mikuki tu bali hata nyundo umezikwepa😀😀Hahah 😊😊 wenyewe wanasema ng'ombe hazeeki maini na nyani mzee kakwepa mishale mingi...
Kwa sasa mimi ni bukheri wa afya otherwise hadi pale weye nesi aunt abiria wangu utaposema nahitaji drip...
Kujiongeza kwa maana ipi? Au akiomba hela na ww omba papuchi? Au una maana nyingine ya kujiongeza?Muwage na nyie mnajiongeza, mwanamke anaeomba hela day one huyo ana yake. Mwanamke akikuelewa kweli hawezi kukuomba hela mapema hivyo.
Kujiongeza kwa maana ya kutambua hapa hamna upendo. Mwanamke akikuelewa/akikupenda hawezi kukuomba hela mapema hivyo.Kujiongeza kwa maana ipi? Au akiomba hela na ww omba papuchi? Au una maana nyingine ya kujiongeza?
Okay asante.Kujiongeza kwa maana ya kutambua hapa hamna upendo. Mwanamke akikuelewa/ akikupenda hawezi kukuomba hela mapema hivyo.
[emoji1635]Okay asante.
alishindwa kutoa hata advance aftatuuElfu kumi tu ikakukosesha mbususu 🤣🤣