Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Mali sio shida unaweza kuwa nayo na usimpatie..changamoto ni kuruhusu kuingiza upenyo kwenye familia πŸ˜‚πŸ˜‚
Na Ushirikina wanaoutumia, mwezi Mmoja tu unakuta unapoteza familia yote 😒
 
...Utoto Raha Sana...!
 
Kwa hiyo ulitaka kumgegeda bure?
 
Achana nao hao
Mimi kuna demu kanitafuta baada ya kuto wasiliana karibia mwaka mzima
Basi akajifanya ana nipenda ma message ya kwanini hukunitafuta mara oooh nakumiss kumbe mavi matupu.

Nikasema fresh tuonane basi, akakubali mara tuma nauli nikasema kwani bei gani nikatuma. Aka anza kunipanga mara hawezi kuja mara nini nika potezea.

Ikawa sasa ni yule mtu ana omba umnunulie vocha mara vifurushi. Nilifanya hivo mara moja nikaona ina kuwa mazoea.

Sasa last week kaja na gia ya kusema weekend nayo panga kumlala ndio ana dalili za period kwahyo nimnunulie pedi bei gani 10k.

Since then nikaona hamna dem hapo ni mchunaji. Kwahyo mpaka sasa nisha mkataa ana tapa tapa tu kutuma message na kupiga simu. Nikiamua kujibu haya nisipo jibu fresh.

Kumhudia dem sio vibaya but at least nile zigo kwanza. Yale maisha ya kusema nikutongoze mwaka sijui hayapo tena. Unasema nifanye hivo wakati una jamaa kila jumamosi ana kuvua kila week.
 
Kuna wengine huwa wanaomba hvyo vihela ili uharakishe mchakato wa kula mbususu,anakuona uko slow kwenye huo mchakato
Nilitaka nicomment kama wewe,hili ndilo jibu.
Angeomba kuanzia elfu 50 hapo kweli tungemuita mdangaji ila elfu 10 ni hela ndogo lengo lake ukishampa elfu 10 anajua baada ya hapo labda utamzingatia.
Kwa umri wake huyo binti bado hajawa mdangaji,halafu kumpa hela demu ambaye yuko tayari kuja geto kwako haina ubaya,mbaya ni ile demu kula hela zako halafu anakwepa kuja geto au wale wanaokwambia tuma na ya kutolea wale ndio wabaya maana wanakula pesa yako na hujui lini watakuja geto.
Kwa maneno yake mtoa mada anaonekana bado hajastaarabika ni aina fulani ya watu wasela mavi ambao anataka amtumie demu bila kumpa hata buku.
 
Kesi yako wewe iko tofauti na kesi ya mtoa mada.
Kwa maelezo ya mtoa mada demu alikuwa anakuja geto kisha anamkosa jamaa,maana yake ameshakubali kuliwa ni mtoa mada mwenyewe ndio anachelewesha mambo.
Anamuomba hela ili kumshtua achangamke na ajiongeze.
 
Sasa kuombwa elf 10 unaacha kupokea simu, school boys mna shida sana
 
10k ushamuita mdangaji? Sasa unamtaka wa nini? Na kwa nini usitafute wa aina yako huombwi hela na papuchi unapewa. Hii dunia hakuna cha bure tena Tanzania.
 
Maelezo marefu, hayaendani au kuzungumzia udangaji?
Mtu anakupenda kwa kukutana barabarani tu, kirahisi hivyo? Wewe mwenyewe hukumpenda na ulitaka kumlala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…