Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Kabisa, ila nadhani haya mavikoba wanayocheza Kila siku yanachangia.

Yaani unakuwa kwenye mahusiano na mtu kila siku anaomba hela, kumbe anaenda kulipa vikoba 🙆
unapoanza kuongea nae tu uwe na 25 ya lodge, 10 ya kumuachia, 10 ya kula na 5 maji ya kunywa. hii ni minimum. sasa huna kitu unaanza kusomesha akikukubalia unafanyaje?
 
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.

KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.

Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
lengo la kuandika haya yote ni nini? haielewiki
 
unapoanza kuongea nae tu uwe na 25 ya lodge, 10 ya kumuachia, 10 ya kula na 5 maji ya kunywa. hii ni minimum. sasa huna kitu unaanza kusomesha akikukubalia unafanyaje?
Hahahaha.............ndiyo maana jamaa anataka kukimbia
 
Back
Top Bottom