Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Wadada sasa hivi wamezidi sana , unakutana na mtu leo just casually as a friend, kesho unaanza kuombwa hela like serious. Sio kitu kizur kwa mtu ambaye ndio kwanza mnafahamiana. Imekuwa too much sana.
Muwage na nyie mnajiongeza, mwanamke anaeomba hela day one huyo ana yake. Mwanamke akikuelewa kweli hawezi kukuomba hela mapema hivyo.
 
Duuh unadhanije ilhali umekutana nae tu!?? Yani mtu kukutana nae tu udhani anakupenda??

Licha ya hivyo pesa muhimu mkuu, kuna jamaa alisema, it's only women and dogs ambao wanapendwa unconditionally but men unapendwa sababu unafanya nn kwenye maisha mtu ama unaleta effect gani kwake!!

Pole na hongera pia mkuu!!
Simp culture is real
 
Wadada sasa hivi wamezidi sana , unakutana na mtu leo just casually as a friend, kesho unaanza kuombwa hela like serious. Sio kitu kizur kwa mtu ambaye ndio kwanza mnafahamiana. Imekuwa too much sana
Akiomba pesa mpe na wewe usikawie mwombe K, akizingua kukupa utamu achana naye.

Hao wanaoomba pesa muwe mnawatreat kama malaya mpe hela omba mzigo
 
Tukiombaje ombaje ndio inakuwa sana?

Ninyi wanaume mkiachwa hamkumbukii, unajua fika umekaa week 2 hujampa hata mia.. afu huyo huyo akikuomba mnakasirika
Bora umwombe mtu Mtaji wa biashara akupe kuliko hii ya kuomba kidogo kidogo Kila siku.

Baada ya hapo najua utakuwa na utimamu hata wa kujifunza style mpya ya kumfurahisha mwenzio 🙈🏃🏃🏃
 
Asante...na hatuwataki wa style hiyo 😂😂😂 afu mwanaume anatoa hela consciously sio kwa kulazimishwa yan...in short hatupendi kuombwa ombwa hata kama mtu unazo.
Ni sawa
Tatizo mkiachwa mnajisahau

Ingawa watoaji wa zile za suprise wapo 😍
Likely mnachat kawaida, mara unasikia ti tii.. kamuamala

Ila kuna hizo chalii za Herode 🙌
Ukinyamaza wala hajiongezi 😂
 
Bora umwombe mtu Mtaji wa biashara akupe kuliko hii ya kuomba kidogo kidogo Kila siku.

Baada ya hapo najua utakuwa na utimamu hata wa kujifunza style mpya ya kumfurahisha mwenzio [emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]
Mtaji? Si ndio tutaachwa kabisa [emoji1787]
 
Back
Top Bottom