Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.

KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.

Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Nimesoma mpaka nimemaliza sijaambulia point hata moja.

Hebu iandike upya
 
Mm nilijaribu hata majibu sikupewa [emoji1787] nilikoma hadi leo napambana na hali yangu.
Pole, ila Wakati mwingine kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu vyema ukapata nafasi ya kumchunguza.

Ila wenye huo uwezo wa kutoa Mtaji wa biashara ni married Men. Try them
 
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.

KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.

Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Elfu 10 ndo unajaza server humu...we mpe 10 na kumi yakutolea alafu mpotezee atakuja mwenyewe.
 
Hivyo vya hivyo hovyo sana mkuu, Hawa under 20 ni matatizo sanaaaa, Kuna kimoja nilikakuta maeneo fulani Kako vzr portable, Sasa nikakasemesha kanajibu vzr t nikachukua no, jioni na kacheki kaka respond vzr t, kesho yake nakaambia Kako wapi kasema nyumbani, nyumbani wapi kaka taja, njoo basi tuonane kakasema hakawezi coz kanaishi kwa dada yake na kaachiwa mtoto, nikakauka,
Haikupita nusu saa nikatumiwaa invoice, oooh naomba pesa ninunue chakula coz hapa nateseka, namuekewesha kuwa cwzi tuma pesa ajili ya kt fulani hataki kuelewa, waaaay, nikamuacha na ku mblock mm
 
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.

KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.

Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Shitiholu
 
Sasa Madam, hela imekuwa ngumu na Vijana hawataki kukopwa Penzi si Bora kujichukulia Sheria mkononi na hela yako ndogo ikabaki 🙊
Naomba nikuhakikishie sheria mkononi inamadhara kishenzi nguvu nehi
 
Back
Top Bottom