Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Maneno yasiwe mengi toa number kwa wenye uwezo wakusaidie...maana unalalmika saana..unadhano demu kuja Getho ni kazi rahisi
 
Vijana ambao hawajaoa wengi unakuta vipato vyao bado havijawa stable.

Pia married men wengi ni matured kichwani tofauti na ambao hawajaoa, you can sit with him discussing some future together
Huu ni ukweli kabisa..Ila kuna wengine sasa😀😀
 
Back
Top Bottom