Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Pole, ila Wakati mwingine kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu vyema ukapata nafasi ya kumchunguza.

Ila wenye huo uwezo wa kutoa Mtaji wa biashara ni married Men. Try them
Uko sahihi % buku
👊🏻👊🏻👊🏻
 
Mzee baba inaonekana huna elimu sana ya sanaa ya utongozaji...

Mwanamke ili afahamu kuwa upo interested naye, si lazima umtamkie maneno "nakupenda, nakuhitaji au nimevutiwa nawe"...

Hayo maneno niliyoyaweka kwa rangi nyekundu, yanatosha kabisa kumwaminisha mwanamke kwamba unataka kuwa naye...

Umemkaribisha ghetto - Jinsi alivyotafsiri mwanamke ni kuwa unahitaji faragha naye na ghetto ni eneo salama.

Umemkaribisha kupika - Jinsi alivyotafsiri ni kwamba upo single, maana hakuna akupikiaye ila wewe.

Kwa nini kakuomba kitu cha ten, kama hana tabia za udangaji maana yake anataka kujua kama unajali na hauna mkono birika...

Ni uamuzi wako sasa kusuka au kunyoa maana wewe ndiye uliyemchokoza mwanzo kabisa...
Chukueni desa hapa nyie vijana wa .com.
 
Kunywa soda popote ulipo naja lipa
Kelsea Chakorii hayo nayafahamu ila huyu mdada amenishangaza style yake ndo maana nimekuja kumuanzishia uzi, mm nshazoea kupigwa vizinga from day one, kutoka kwa wadada ambao mimi nawashobokea sana, ila Wao hawanitaki.

Mm nimeshangaa huyu mdada kanishobokea yeye, na mzinga kanipiga yeye from day one, sasa nashangaa hii ni style mpya mlokuja nayo au? Mdada anategemea wazazi wake, hajishuhulishi na vicoba wala

Kama hanitaki kwanini Atumie nguvu zote hizo kuniigizia?
 
Pesa inatuuma jamani kwenye kuonga mtuonee huruma baada ya sex ndo huwa kama akili zinaturudiaga unaanza kupiga hesabu zote za vizinga ulivyopigwa unajiona mjinga haujaona maajabu K ni ileile tu 🤣🤣🤣
Basi msilalamike na wao wakiwatia vizinga b4 mzagamuo
 
Mnaambiwa kila siku Kama huwezi ku-afford sex achana nayo,,, fanya Mambo mengine, watoto wazuri utawaita shemeji,,
 
Kwahiyo bora kufanyaje? Ukiingia Buruguni unajiweka rehani na Maradhi ingawa ndiyo less cost
Tafuta mmoja jitahidi kumjali Kwa chochote kitu uwe na uhakika wa game na sio sheria mkononi 🥹🥹🥹aise ni mbaya mnoo
 
Kelsea Chakorii hayo nayafahamu ila huyu mdada amenishangaza style yake ndo maana nimekuja kumuanzishia uzi, mm nshazoea kupigwa vizinga from day one, kutoka kwa wadada ambao mimi nawashobokea sana, ila Wao hawanitaki.

Mm nimeshangaa huyu mdada kanishobokea yeye, na mzinga kanipiga yeye from day one, sasa nashangaa hii ni style mpya mlokuja nayo au? Mdada anategemea wazazi wake, hajishuhulishi na vicoba wala

Kama hanitaki kwanini Atumie nguvu zote hizo kuniigizia?
Nilichokiandika kule juu ndio jibu sasa. Mwanamke aliestaarabika hawezi kuingia kwa gia aloingia nayo huyo bidada. Hata kama kweli ana shida kuna namna ya kuingia hatutangazi shida mapema hivyo my friend.
Hiyo ya kuanza kukushobokea ndio yale yale tu anataka umtatulie shida zake so akili kumkichwa.
 
Back
Top Bottom