Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Sidhani, depends na uliyemchagua.
Sio kwamba it depends na hivyo alivyo ndivyo hivyo hivyo..

Kwenye ndoa kunakuwaga na mambo mengi sana so labda ukikutana na mtu ambae anahitaji mtu aliyetulia basi anaweza kukufanyia chochote kilicho ndani ya uwezo wake
 
🤣🤣 ndio alegee viabu vimtoke shughuli ifanyike
Jaribu kutengeneza moments asizozisahau..mpeleke wine cellar akachague wine,mpendekezee wine kadhaa…mpe kipaumbele kwenye menulist…chekeni chekeni kidogo..tengeneza mazingira fulani ili usiku akienda kulala akuwaze 😅😅kama Uko na malengo nae hii ni nzuri
 
Sio kwamba it depends na hivyo alivyo ndivyo hivyo hivyo..

Kwenye ndoa kunakuwaga na mambo mengi sana so labda ukikutana na mtu ambae anahitaji mtu aliyetulia basi anaweza kukufanyia chochote kilicho ndani ya uwezo wake
Mara nyingi ukikutana na married Men wengi hutaka Utulivu na Mapenzi tu.

Tena mwingine anakwambia kabisa, sitaki Tuzae, kama watoto ninao tayari so hapo wewe ni kuhakikisha unampa penzi na Utulivu huku mnainjoi maisha pamoja.

Siku ukipata wa kukuoa na gharama za harusi anakuchangia 💪
 
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.

KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.

Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Dogo toa hiyo elfu 10 haraka iwezekanavyo. Umelikoroga mwenyewe, hivyo lazima ulinywe.

Unafikiri hata ukipata huyo mdada anayekupenda, hutampa hela?
 
Back
Top Bottom