Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Kabisa, ila nadhani haya mavikoba wanayocheza Kila siku yanachangia.

Yaani unakuwa kwenye mahusiano na mtu kila siku anaomba hela, kumbe anaenda kulipa vikoba ๐Ÿ™†
unapoanza kuongea nae tu uwe na 25 ya lodge, 10 ya kumuachia, 10 ya kula na 5 maji ya kunywa. hii ni minimum. sasa huna kitu unaanza kusomesha akikukubalia unafanyaje?
 
lengo la kuandika haya yote ni nini? haielewiki
 
unapoanza kuongea nae tu uwe na 25 ya lodge, 10 ya kumuachia, 10 ya kula na 5 maji ya kunywa. hii ni minimum. sasa huna kitu unaanza kusomesha akikukubalia unafanyaje?
Hahahaha.............ndiyo maana jamaa anataka kukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ