Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Hii comment imenisanua nikarud kutazama pichaHuenda macho yangu yamezeeka hivyo hayaoni sawasawa.
Huyo Ruto si anaonekana amenyoa Kipara ama nachanganya sioni vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment imenisanua nikarud kutazama pichaHuenda macho yangu yamezeeka hivyo hayaoni sawasawa.
Huyo Ruto si anaonekana amenyoa Kipara ama nachanganya sioni vizuri?
Unazingua wewe myahudi mweusiMzuka wanajamvi.
Itakuwa Raila anamroga jinsi alivyomroga Uhuru. Hii haircut hapana asee.
View attachment 2844086
Huku bongo hawawezi kumkataa mahakimu?
Huku bongo hawawezi kumkataa mahakimu?
Mbona ni ya miaka.Mzuka wanajamvi.
Itakuwa Raila anamroga jinsi alivyomroga Uhuru. Hii haircut hapana asee.
View attachment 2844086
Ubaguzi gani unazungumzia mkuu, Sera za pep ndo zinawafanya wajingawajinga kumbagua pep....Pep tulia wewee acha ubaguzi.
escapee mimi ni chawa pro maxToka mlipo ambiwa habaria za AI, basi kila ambalo akili ya mtu imeshindwa kutafsiri husingizia AI.
Hapo hakuna cha AI wala nini…level zako ni uchawa tu,chawa kila kitu humtegemea mtu hadi kumfikiria vitu vimuhusuvyo.
Hiyo 148 m usd jamaa ataweza kuwalipa hao electoral commissioners? Licha ya kujigamba appeal
Wanasema hata kuwa nayo hana.Hiyo 148 m usd jamaa ataweza kuwalipa hao electoral commissioners? Licha ya kujigamba appeal