Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.
Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.
Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano yaliyotulia.
Sasa najiuliza, hili pepo linalopoteza hisia za wanawake kwa mwanaume asiye na kipato au uchumi duni, na kumfanya huyo huyo mwanamke kuwa na hisia kwa mwanaume mwenye kipato/ uwezo wa kuhonga lililetwa na nani?
Kwa sababu, kwa zamani hii hali haikuwepo; watu walikuwa na mapenzi ya kweli ata kama mnashindia mlo mmoja kwa siku.
Nipo tayari kufanya ibada ya kukanyaga mafuta, tulikemee kabisa hili pepo liondoke kabisa katika hii dunia.