Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.

Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.

Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano yaliyotulia.

Sasa najiuliza, hili pepo linalopoteza hisia za wanawake kwa mwanaume asiye na kipato au uchumi duni, na kumfanya huyo huyo mwanamke kuwa na hisia kwa mwanaume mwenye kipato/ uwezo wa kuhonga lililetwa na nani?

Kwa sababu, kwa zamani hii hali haikuwepo; watu walikuwa na mapenzi ya kweli ata kama mnashindia mlo mmoja kwa siku.

Nipo tayari kufanya ibada ya kukanyaga mafuta, tulikemee kabisa hili pepo liondoke kabisa katika hii dunia.​
 
Biejin 1994.
 
Hii ipo Toka kale Incase ikiwa hujatambua.

Walikuwa rahisi kwa Mwanaume mwenye:
1.Mashamba
2.Mwindaji hodari
3.Mkulima hodari
4.Mvuvi makini.

Humo ndani utaona wote kigezo Chao ilikuwa huduma atakavyo pata.
Ila material things kwa Sasa ndio imekuwa focus.
Kubali hiyo ndio kanuni ya mchezo, it's business for them.

Learn and Relearn
 
Watumia salio katika kupata uchi hao ndio waliodukua mfumo na kuzalisha pattern mpya ambayo Sasa imedominate na kuwa Autopilot kwa kila anayemiliki uchi.
 
Kuna muda siyo lazima uanzishe mada, comment tu mada za wenzio mkuu!
Bila waanzisha mada kuwepo, jukwaa litakuwa halina maana 'dormant'; ndio maana sehemu zingine wanawaomba ku-'subscribe' na watu watembelee kwa wingi midia iliyopo.​
 
Back
Top Bottom